PostGE2025 Picha: Polisi wampandisha mtuhumiwa kizimbani kusomewa mashtaka akiwa na BOKSA

PostGE2025 Picha: Polisi wampandisha mtuhumiwa kizimbani kusomewa mashtaka akiwa na BOKSA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kijana huyu amesimama kizimbani akiwa na vest na boksa—baada ya kunyimwa hata ruhusa ya kupiga simu kuomba nguo za kubadilisha.

Ni miongoni mwa vijana walioshtakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi ya uhaini. Taarifa zinaeleza kuwa Jeshi la Polisi lilimzuia kuwasiliana na familia yake, hata kwa dharura ya mavazi.

Leo, mbele ya Mahakama, amesomewa mashtaka akiwa katika hali isiyo ya heshima kwa utu wa binadamu.

Soma Zaidi: Wengine 95 wapandishwa Kisutu jioni hii kwa Mashtaka ya Uhaini, idadi yafikia watuhumiwa 291 nchi nzima

duu mwamba alikua anatafuta nn barabaran na boxer
 
Vipi wale waliovunjiwa maduka, kuchomewa magari na kuibiwa mali zao, ilhali hawahusiki na huo ufuska semwa wa serikali? Je huo sio ukatili kwao?
Serikali haijawali kabisa hao, imejali mali zake na madaraka tu. Wakafungue kesi polisi kutafuta haki zao
 
Mtuhumiwa wa uhaini
 

Attachments

  • 20251109_123141.jpg
    20251109_123141.jpg
    124.8 KB · Views: 22
Namuonea huruma sana huyu mama anaingizwa chaka vibaya sanaa....
 
Huyu mama anadanganywa sana.nchmbi iponye nchi huyo mama ni sikio la kufa.anachochea mwenyewe gasia.ncgi italipuka km mafuta ya petroli.shauri zake.
 
Back
Top Bottom