Polisiccm wengi ni Division 4 wenye F na zero uelewa wao juu ya haki za binadamu upo chini sanakila mtu (hata aliyehukumiwa kifo) anastahili kupata heshima ya kibinadamu bila kutweza utu wake. Ndivyo katika na sheria zetu zinavotaka. Haya majitu ni makatili na yanavunja sheria. Mahakama nazo zilivyo za hovyo zinakubali vipi kukubali mtu aletwe mahakamani akiwa amevaa nguo ya ndani?
Aliandamana wapi? Wengi hukamatwa hata majumbani mwao wakiwa ndani kisha inawabambikia kesi za uhainiKama aliandamana akiwa na boksa apelekwe court vivyo hivyo
Alienda kuvunja maduka na boksa? hii inaleta picha watu walifatwa majumbaniVipi wale waliovunjiwa maduka, kuchomewa magari na kuibiwa mali zao, ilhali hawahusiki na huo ufuska semwa wa serikali? Je huo sio ukatili kwao?
Wanawapiga sana ni mbinu ya kijinga kwenye mahojiano kwani wengi wakipigwa hukili makosa hata kama hawatenda kosa, Polisiccm sasa wanatumia fursa hii kuwabambikia wengi makosa ya uhaini kwa uonevu mkubwa
Polisiccm wanatumia fursa hii kuonea kuwanyanyasa wengiAlienda kuvunja maduka na boksa? hii inaleta picha watu walifatwa majumbani
Walioteka kuua watu na kuwapoteza akina mdude wanadunda mitaani lakini vijana wapita njia wanabambiwa kesi za uhainiWasio wahaini wanasomewa uhaini na wahaini wanaonekana malaika!
Ila hii polisi ya Tanganyika hii sijui huko CCP huwa wanafundishwa nini maana vichwa ni vyeupee ,nguvu nyingii akili kidogo, wana roho za kisherani kabisa na hawa ndio wanao chelewesha maendeleo ya nchi huenda CCM tuna waonea tuKijana huyu amesimama kizimbani akiwa na vest na boksa—baada ya kunyimwa hata ruhusa ya kupiga simu kuomba nguo za kubadilisha.
Ni miongoni mwa vijana walioshtakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi ya uhaini. Taarifa zinaeleza kuwa Jeshi la Polisi lilimzuia kuwasiliana na familia yake, hata kwa dharura ya mavazi.
Leo, mbele ya Mahakama, amesomewa mashtaka akiwa katika hali isiyo ya heshima kwa utu wa binadamu.
Soma Zaidi: Wengine 95 wapandishwa Kisutu jioni hii kwa Mashtaka ya Uhaini, idadi yafikia watuhumiwa 291 nchi nzima
Akina nani? Hao hakuna aliyevunjiwa unauhakika gani kama jamaa mwenye BOKSA kahusika?Vipi wale waliovunjiwa maduka, kuchomewa magari na kuibiwa mali zao, ilhali hawahusiki na huo ufuska semwa wa serikali? Je huo sio ukatili kwao?
Wapo, angalia taarifa ya habari na walalamikaji wengine humu.Akina nani? Hao hakuna aliyevunjiwa unauhakika gani kama jamaa mwenye BOKSA kahusika?
Kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamua tu kufanya fujo? Yapata miaka zaidi ya 30 sasa hizo njia mbadala hazijafua dafu ulitaka wafanyaje?Chanzo ni walioamua kufanya fujo na vurugu badala ya kutumia njia mbadala kule mabadiliko pendwa.
Nilitaka wasivunje maduka, kuiba na kuharibu mali za watu binafsi wasiohusika na huo ufuska daiwa.Kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamua tu kufanya fujo? Yapata miaka zaidi ya 30 sasa hizo njia mbadala hazijafua dafu ulitaka wafanyaje?
CCTVAlienda kuvunja maduka na boksa? hii inaleta picha watu walifatwa majumbani