duu mwamba alikua anatafuta nn barabaran na boxerKijana huyu amesimama kizimbani akiwa na vest na boksa—baada ya kunyimwa hata ruhusa ya kupiga simu kuomba nguo za kubadilisha.
Ni miongoni mwa vijana walioshtakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi ya uhaini. Taarifa zinaeleza kuwa Jeshi la Polisi lilimzuia kuwasiliana na familia yake, hata kwa dharura ya mavazi.
Leo, mbele ya Mahakama, amesomewa mashtaka akiwa katika hali isiyo ya heshima kwa utu wa binadamu.
Soma Zaidi: Wengine 95 wapandishwa Kisutu jioni hii kwa Mashtaka ya Uhaini, idadi yafikia watuhumiwa 291 nchi nzima
Wakitumia njia mbalimbali mnawateka na kuwaua pia.Chanzo ni walioamua kufanya fujo na vurugu badala ya kutumia njia mbadala kule mabadiliko pendwa.
alafu mabadiliko ungetoa kwenye haja ndogo? very stupidNilitaka wasivunje maduka, kuiba na kuharibu mali za watu binafsi wasiohusika na huo ufuska daiwa.
Serikali haijawali kabisa hao, imejali mali zake na madaraka tu. Wakafungue kesi polisi kutafuta haki zaoVipi wale waliovunjiwa maduka, kuchomewa magari na kuibiwa mali zao, ilhali hawahusiki na huo ufuska semwa wa serikali? Je huo sio ukatili kwao?
utu na utulivu wa damu za wa TanzaniaIle kauli ya "Kazi na Utu" yule mtu huwa anamaanisha nini?