Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Ni katika kampeni za Urais zinazoendelea nchini Tanzania

Prof. Ibrahim  Lipumba  Na hii ni Iringa Mjini uwanja wa  Mwembetogwa..... ( 640 X 640 ).jpg
 
Huyo Lipumba miaka yote alikuwa anatembelea nyota ya Maalim Seif, ccm wakamuingiza chaka saa hii anakutana na ukweli mchungu. Yeye na Mbatia tuliwaambia huo uchaguzi wa 2015 walipanda thamani kwa kuwa kwenye ukawa sababu ya cdm, waligoma kabisa ila saa hii hatuandikii mate.

Ni dhahiri CUF haitapata mbunge wala Diwani hata mmoja Tanzania Bara na Visiwani!! Not even one Member of Parliament in Tanzania will CUF harvest in October 2020 general election!!! The same applies to TLP NCCR UDP TADEA NRA ADC CHAUMA! CCM kiboko yao, siyo tena ile CCM ya 2015.
 
Back
Top Bottom