PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.

putin-2-1.png
Picha na maelezo havina uhusiano,hiyo ni picha ya marehemu Samora Machel akiwa tayari ni raisi wa Msumbiji wala hayupo Putin hapo.
 
Puttin anazushiwa kuishi matopeni miaka ya giza nene aise! walimwengu wana mengi sana.
 
Mwenye kapicha hata ka nyumba alokua anaishi akiwa Tanzania atupie.....au alikua anaishi porini
 
kwanini mkuu
Kuna mfumo ambapo mtoto anapoanza la Kwanza hatakiwi kurudia au kurushwa darasa isipokuwa kwa vibali maalum,kupata vibali ndo kazi ilipo.

Mtoto anapoanza shule anapewa prem number ambayo ukimrusha mwaka itasumbua kwenye usajili wa mitihani ya taifa.

Sina ufahamu mkubwa kwenye hili Ila waalimu wanaweza kutupa muongozo.

Njooni waalimu
 
View attachment 2132128


View attachment 2132129
Moja ya majengo ya Bagamoyo, sehemu ambapo Vladimir Putin alikuwa akiwapatia mafunzo wapigania uhuru wa Afrika...
Si kweli hata kidogo. Huyu si Putin kwenye mwaka 1973!

Putin alizaliwa mwaka 1952. Wakati ule alikuwa na umri wa miaka 21, bado mdogo na mwanafunzi wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha Leningrad alikosoma 1970-1975. Kwa umri huu mdogo, angefanya nini?

Kwanza yule Mzungu kwenye picha si Putin, pili si uso wa mtoto wa miaka 21, tatu hakuna ushahidi juu yake kuwepo Tanzania, nne hata yeye mwenyewe alipokutana na marais Waafrika huko Sochi mwaka 2019 hakudokeza kwa neno moja kuwa aliwahi kuwepo Afrika (ambayo asingeacha hakika!!!)

Acha upuuzi!!!
 
Si kweli hata kidogo. Huyu si Putin kwenye mwaka 1973!

Putin alizaliwa mwaka 1952. Wakati ule alikuwa na umri wa miaka 21, bado mdogo na mwanafunzi wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha Leningrad alikosoma 1970-1975. Kwa umri huu mdogo, angefanya nini?

Kwanza yule Mzungu kwenye picha si Putin, pili si uso wa mtoto wa miaka 21, tatu hakuna ushahidi juu yake kuwepo Tanzania, nne hata yeye mwenyewe alipokutana na marais Waafrika huko Sochi mwaka 2019 hakudokeza kwa neno moja kuwa aliwahi kuwepo Afrika (ambayo asingeacha hakika!!!)

Acha upuuzi!
 
Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.

putin-2-1.png
Google na Wikipedia pia wanaonya kwamba hizo taarifa zaweza kuwa sio sahihi.

Ila huo ulikuwa ni wakati wa vita baridi na ilokuwa USSR ilisaidia sana nchi za Afrika katika masuala mbalimbali.

Wapo wazee wengi wa kitanzania ambao walipelekwa USSR kusoma na wakasoma khasa.
 
View attachment 2132128
Vladimir Putin, watatu kutoka kushoto, anayemfuatia ni Rais wa zamani wa Msumbiji, hayati Samora Machel, wakiwa pamoja na Rais wa Zimbabwe, Emmerson Munangagwa. Picha hii ilipigwa Bagamoyo mwaka 1973...
Tumekunywa nae sana mnazi huyu mlevi sana hapo mwanakwerekwe ana mtoto alizaa na mzaramo mtoto wa mzee Ashibae.
 

Photo likely taken days before Machel’s death in 1986

Graphic doing the rounds for years

The claim has been circulating on websites and social media since at least 2018.

The earliest instance of the photo I found was in an October 2016 post on JamiiForums, a popular Tanzanian discussion forum. It claimed the photo showed Putin visiting African countries in the 1980s.

There are other red flags in the photo. While the man identified as Putin resembles modern-day Putin, the Russian leader was born in Leningrad, today’s St Petersburg, in 1952. This means he would have been 21 years old when the photo was taken. I thought the man in the photo looked quite a bit older than 21 and Telepneva agreed, adding that he “does not really look all that similar to the young Putin”.

I also managed to find a few photos of Putin in his early 20s, which show that he looked noticeably younger than the man in the photo.

I finally reached out to Dr Luca Bussotti, an associate researcher at the Centro de Estudos Internacionais – Instituto Universitário de Lisboa and an expert in Lusophone African politics and history. He was able to offer some additional clues to the photo’s origins.

Bussotti said his contacts had told him the photo was taken in Mozambique in 1986, just days before Machel and 24 others died in a plane crash on 19 October.

“The supposed person identified as Putin is a Soviet agent of [the] KGB,” he said. “His presence is due to the fact that the USSR had doubts on the loyalty of Samora, because of his travel [to] the States and his meeting with Reagan.”

Machel had met US president Ronald Reagan on 19 September 1985 to strengthen relations between the US and Mozambique. I wasn’t able to find other evidence of Machel’s meeting with the Soviets, but this is the most credible explanation I’ve gotten so far.

So could the KGB officer be Putin after all? Still no. All the experts I contacted confirmed that Putin was stationed in East Germany at the time and there is no record of him going to Tanzania.

READ MORE : HISTORY CHECK: Mystery solved? On the trail of much-shared photo supposedly of Putin, Machel and Mnangagwa in the 1970s
 
BBC News, Swahili

Ruka hadi maelezo

Yaliyomo

Habari

Michezo

Video

Vipindi vya Redio

Mzozo wa Ukraine: Huu ni Ushahidi kwamba Putin hakuwahi kuwafunza wapigania uhuru wa Afrika

Peter Mwai

BBC Reality Check

Saa 4 zilizopita

[https://ichef]

CHANZO CHA PICHA,REUTERS

Maelezo ya picha,

Rais Putin

Picha ya zamani isiyo na rangi (black and white) ambayo baadhi ya watu kwa kupotosha wanadai inamuonyesha rais wa Urusi Vladimir Putin akitoa mafunzo kwa harakati za ukombozi kusini mwa Afrika, imekuwa ikisambaa.

Imekuwa ikitumiwa na baadhi ya watu kuhalalisha dhana ya kwa nini nchi za Afrika zinapaswa kuiunga mkono Urusi katika vita nchini Ukraine.

Picha hiyo pia iliwekwa kwenye mtandao wa Twitter na mtoto wa rais wa Uganda Yoweri Museveni.

Unaweza kusoma pia:

YA MSINGI:Mzozo wa Ukraine: Kwanini Urusi inaivamia Ukraine na Putin anataka nini?

UFAFANUZI:Mzozo wa Ukraine: Swift ni nini na kwa nini kuipiga marufuku Urusi ni muhimu sana?

UCHAMBUZI:Mzozo wa Ukraine: Putin humsikiliza nani?

KWENYE RAMANI:Uvamizi wa Ukraine: Shambulio la Urusi kwenye ramani

ZELENSKY:Volodymyr Zelensky: Mfahamu rais wa Ukraine aliyeacha umaarufu wake wa TV na kuingia kwenye siasa

PUTIN:Vladimir Putin: Rais wa Urusi aliyeagiza shambulio Ukraine

SILAHA:Mzozo wa Ukraine:Makombora ya stinger na silaha nyingine kali zinazotumiwa Ukraine

Lakini haionyeshi Bwana Putin akiwa barani Afrika, na wakati ambao watu wanadai ilipigwa pia si sahihi.

Ruka Twitter ujumbe, 1

Haipatikani tena

Tazama zaidi katika TwitterBBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje.

Mwisho wa Twitter ujumbe, 1

Putin hakuwepo Tanzania

Picha hiyo ilisambazaa sana mtandaoni baada ya kuchapishwa katika blogu moja ya Zimbabwe mwishoni mwa mwaka 2018.

Machapisho hayo kwenye mtandao yalidai picha hiyo inamuonyesha Putin akiwa katika kambi ya mafunzo ya kijeshi ya Tanzania katika harakati za uhuru wa kusini mwa Afrika mwaka 1973.

Pia waliokuwepo katika picha hiyo, ilidaiwa kuwa ni Rais wa Msumbiji Samora Machel na Emmerson Mnangagwa, ambaye sasa ni rais wa Zimbabwe.

"Putin alikaa Tanzania kwa miaka minne na kutoa mafunzo kwa wapigania uhuru kuanzia mwaka 1973 hadi 1977," blogu hizo pia zilidai.

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Maelezo ya picha,

Putin ameyatembelea mataifa mengi ya Afrika akiwa Rais na akiwa waziri mkuu

Hata hivyo, hakuna ushahidi wowote kutoka kwenye kumbukumbu za Urusi au Afrika kuhusu Putin, ambaye alizaliwa mwaka 1952, kwamba aliwahi kwenda barani humo katika miaka ya 1970.

Wasifu wa Putin kwenye tovuti ya Kremlin unaonyesha kwamba alikuwa akisoma katika Chuo Kikuu cha Leningrad State wakati huo, na kuhitimu mwaka 1975.

"Madai hayo ni ya kijinga tu," anasema Paul Fauvet, mwandishi wa habari ambaye ameishi Msumbiji kwa miongo kadhaa.

Mafunzo yaliyotolewa kwa wapiganaji wa uhuru wa Msumbiji katika makambi nchini Tanzania, anasema, "yalifanywa na wakufunzi wa Kichina na sio Wasovieti".

Pia, Mnangagwa asingeweza kuwa nchini Tanzania mwaka 1973 kwa kuwa alikamatwa mwaka 1965 na kufungwa jela kwa miaka 10 na serikali ya wazungu wa Rhodesia ya Kusini.

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Maelezo ya picha,

Rais Machel wa Msumbiji alifariki katika ajali ya ndege

Je ilikuwa ziara ya Urusi nchini Msumbiji katika miaka ya 1980?

Mwandishi wa Zimbabwe Renato Matusse alitumia picha hiyo katika kitabu chake cha mwaka 2018, ambapo anasema inaonyesha Bwana Machel akiwa na washauri wa kijeshi wa Urusi wakitembelea kituo cha kijeshi karibu na mji mkuu wa Msumbiji Maputo katikati ya miaka ya 1980.

Lakini anasema ni wazi kwamba Putin hausiki.

Bwana Putin alikuwa akifanya kazi kama wakala wa KGB huko Ujerumani Mashariki kati ya 1985 na 1990 mwanzoni angelikuwa ni afisa wa ngazi ya chini, ambaye isingewezekana kuongoza ujumbe mkubwa hivyo.

Pia hakuna mahali ametajwa na Ikulu ya Kremlin kwamba aliwahi kutembelea Msumbiji, au katika sehemu yoyote ya wasifu wake.

José Milhazes, mwanahistoria na mwandishi wa habari, anaeleza kwamba mtu aliyeonekana kwenye picha hiyo alikuwa afisa mwingine mwandamizi wa Soviet aliyehudumu kusini mwa Afrika.

"Kwa kufanana kwao, naweza kusema tu kwamba ni bahati mbaya," anasema.

Georgi Derluguian, ambaye alifanya kazi kama mkalimani wa Kireno na Urusi katika miaka ya 1980, na sasa ni profesa katika Chuo Kikuu cha New York, Abu Dhabi, anasema madai kwamba mtu anayeoneka katika picha hiyo ni Putin "ni utani".

Anasema buti zilizovaliwa zinaonyesha kuwa mtu huyo ni mwanajeshi, wakati Putin alikuwa afisa wa ujasusi. Picha hiyo inamuonyesha ni kama baba yake Putin (mtu mzima).

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Na jambo linguine la kuongezea kwenye utata wa picha hiyo ni kwamba mtu anayeonekana katika picha hiyo amevaa saa katika mkono wake wa kushoto. Bwana Putin - angalau siku hizi - ana kawaida ya kuvaa saa kwenye mkono wake wa kulia.

Mada zinazohusiana

Vladimir Putin

Urusi

Habari kuu

Moja kwa mojaUrusi na Ukraine: Urusi yashindwa kupiga hatua za kivita Ukraine - Afisa wa Marekani

Namna Rais Magufuli alivyojaribu kuibadili CCM

Saa 1 iliyopita

Ndege 4 za Urusi zaangushwa Ukraine huku baadhi ya wanajeshi wakikataa kutekeleza amri

Saa 1 iliyopita

Gumzo mitandaoni

Stinger,Javelin,Thermobaric na mabomu ya Cluster- fahamu silaha hatari zinazotumiwa Ukraine

14 Machi 2022

Marekani yaionya China dhidi ya kuisaidia Urusi

14 Machi 2022

Makaburi ya pamoja yachimbwa kote Ukraine

14 Machi 2022

Wanajeshi wa Ukraine: 'Hakuna anayetaka kufa'

14 Machi 2022

Takriban watu 35 wauawa, 134 wajeruhiwa kwa shambulio la kombora la Urusi

13 Machi 2022

Ethiopia kuchukua hatua baada ya video inayoonyesha mtu akichomwa moto akiwa hai

13 Machi 2022

Roman Abramovich: Rabi achunguzwa juu ya uraia wa Ureno

13 Machi 2022

Rais mwenye umri mdogo zaidi duniani

12 Machi 2022

Kwanini Wasanii Afrika Mashariki wanakimbilia kutoa EP badala ya Albamu?

11 Machi 2022

Iliyosomwa zaidi

1

Urusi na Ukraine: Kwa nini Vladimir Putin hakuweza kuwafunza wapiganaji wa Afrika?

2

Namna Rais Magufuli alivyojaribu kuibadili CCM

3

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 15.03.2022

4

Uhusiano wa kiuchumi kati ya Urusi, na China una jukumu gani katika vita ?

5

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 14.03.2022

BBC News, Swahili

Kwanini unaweza kuiamini BBC News

Sheria ya matumizi

Kuhusu BBC

Sera ya faragha

Cookies

Wasiliana na BBC

AdChoices / Do Not Sell My Info

[emoji2398] 2022 BBC. BBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje.
 
Russian leader Vladimir Putin was born in 1952 in St. Petersburg (then known as Leningrad). After graduating from Leningrad State University, Putin began his career in the KGB as an intelligence officer in 1975...

Kwa hivyo mwaka 1973 wakati picha hiyo inapigwa alikuwa bado hajaingia KGB.
 
Nchi za kijamaa zina matatizo mengi Sana kuanzia msongo wa mawazo ya kutojiamini, umaskini,usalama na mental problems zingine kiasi kwamba wanaoitwa viongozi wake wanakuwa na muonekano wa tofauti tofauti kama majambazi.
 
Nchi za kijamaa zina matatizo mengi Sana kuanzia msongo wa mawazo ya kutojiamini, umaskini,usalama na mental problems zingine kiasi kwamba wanaoitwa viongozi wake wanakuwa na muonekano wa tofauti tofauti kama majambazi.
Kwani sisi ni nchi ya kijamaa bado?
 
Nilipita Zahir hoteli,hoteli ya Zamani sana huko mjini Dsm kwa ajili ya kupata chakula Cha mchana.
Haina shaka hoteli hii ilitumiwa na wapigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika kwa ajili ya malazi, chakula na vikao vya Siri.

Haina shaka Che Guevara alipata kufikia katika hoteli hiyo na kuelekea Congo kisaidia wakongoman kupambania uhuru wao .

Hakuna duniani wasiojua umaarufu wa Che Guevara.

Lakini katika kupata kwangu chakuala hotelini hapo, nikaona pamebandikwa picha kadhaa zikiomesha watu mashuhuri hapa duniani waliopata kufikia hotelini hapo.
Mmoja wa watu niliowaona kwenye picha hiyo ni mwamba wa Urusi,raisi wa Sasa hivi wa Urusi Vladimir Putin.
Wengine walioonekana na kutajwa kua waliishia hotelini hapo ni Marais Samora Machel,mnangagwa,Mandela,Augustino neto na miamba mingine.

Kwa mujibu wa wenye hoteli walithibitisha pasi na shaka mwamba Vladimir Putin aliwahi fikia hotelini hapo.


1679702424505.png






1679701765097.png


1679702189617.png
 
Nimeshindwa kuambatanisha picha kama zilivyobandikwa kwenye ubao wa Zahir hotel Dsm zinazowahusu akina madela Machel,mnangagwa,neto na wengine. Ila hiyo ya Putin Iko kama inavyoonekana hapo juu.

In 1973, Putin trained African freedom fighters in Tanzania as a KGB agent. During his stay in Africa.

The photo below was taken in October 1986, a few days before former Mozambican President Samora Machel died in a plane crash. Vladimir Putin, second from left, with a group that includes Samora Machel. At the time, Putin was a military adviser in Mozambique. #Putin #Mozambique
 
Back
Top Bottom