julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Kwa kweli leo imenishinda nilishazoea kusikia mchina anauza madafu sijui karanga mitaan inakuw tunawahis hawa labda ma spy.
Ila leo huyu jamaa anazunguka Kariakoo miskitin anaomba.hiv kwanin anatesa hawa watoto, kwanin asirud ubalozin akaomba msaada labda alipata na majanga yakasabisha ashindwe kurudi kwao?
Jinsia na jamii ebu tusaidien huyu jamaa ilikuwaje kuwaje?
Anazunguka na watoto lami peku barabara ya moto kama hivi