Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

WhatsApp Image 2023-08-24 at 15.28.01.jpeg
WhatsApp Image 2023-08-24 at 15.28.02.jpeg
 
Basi sawa sawa....acha aongee akurudi tukutane Kizimkazi
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

View attachment 2727312View attachment 2727313
Huyu bibi Anafanyaha mambo kimya kimya akishaaleta panic anatumia pesa na vyombo vya dollar kuwanyamzisha wstu ,2022 walikutana na makhtum deal la DP w likaingiwa ,mungu tuepuehe na fitina nyingiene
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

View attachment 2727312View attachment 2727313
Wameongea nini sasa.? Bila kutuletea walichoongea basi walikuwa wanasalimiana tu..

Unless kama anaomba TICS iendelee na kupakuwa makontena
 
Hapo ni vile huijulikani wamezungumza nini hivyo hakuna cha kuponda linatafutwa lolote hata mkao ilimradi kuwe na upondaji.
 
Back
Top Bottom