Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

Huu Mkao wa Rais Wetu mbona kama Anamuogopa huyo Xi? Au ni macho yangu...
Mama atakuwa ameulizwa: Mbona sisi mlitubania ule mkataba mzuri wa bandari ya bagamoyo, na huyu mkwapuaji wa kiarabu mmemruhusu akwapue mchana kweupe? Mkataba gani usiokuwa na ukomo?

Sasa hapo hawezi kumtazama Xi usoni!! Swali gumu hilo!!
 
Hivi huwa kuna mikao ya ki - Rais pia au unaweza kukaa vyovyote vile upendavyo?

Mkao wa Mama Samia ni kama vile anajiandaa kutaka kuanza kukuna nazi 😄

Halafu mkao wa Xi Jinping ni kama anajiandaa kutimka mbio za mita mia moja🥺!
😂😂
 
Duh!

Nikisoma picha hizi, hasa hiyo ya pili, nazisoma kwa masikitiko makubwa sana kwa nchi yetu hii Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Yule Jamaa alikuwa anawakimbia viongozi wenzake,alikataa kukutana na viongozi wenzake,sasa unajiuliza,without negotiations how could you solve tough equations! In your country? Utabakia kuwakimbilia kagame,Burundi,Malawi na kujimwambafyi KIJINGA tu.
 
Back
Top Bottom