CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Wajumbe wa mkutano mkuu NEC
===
Hatimaye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amemaliza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri kuu Leo kwa Mafanikio Makubwa kazi iliyobaki ni Mkutano Mkuu kesho tarehe 18.01.2025.
Rais Samia akiwa amevalia gauni la kijani na kilemba cheusi ameonekana ni mtu mwenye bashasha sana kiasi Cha kuwafanya wajumbe wa Mkutano Mkuu kuwa na furaha zaidi wakiamini anakwenda kuwaletea jembe la kazi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Nov 2025.
Wajumbe wa Kamati Kuu CC