PICHA: Rais Samia aongoza Vikao Vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Kwa Mafanikio Makubwa, Je leo ni Paul Makonda au Mizengo Pinda?

PICHA: Rais Samia aongoza Vikao Vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Kwa Mafanikio Makubwa, Je leo ni Paul Makonda au Mizengo Pinda?

CCM wasiri mno hata saa hii hakuna ajuaye jina

Ingekuwa Chadema Lisu na Lema wangesharopoka
 
Nimeota kesho ardhi itafunguka hapo kwenye hilo jengo na jengo lote litamezwa ardhini na wote waliomo kisha ardhi itajifunga tena.
 
KAZI iendelee!Apewe makonda Ili baadae awe Mgombea Mwenza wa samiah!!

Tumalize biashara mapema kabisaaa!!!

Makonda ni Vibrant and electric ataleta msisimko ndani ya chama na kuvuna wanachama wengi zaidi!!
 
Back
Top Bottom