PICHA: Rais Samia aongoza Vikao Vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Kwa Mafanikio Makubwa, Je leo ni Paul Makonda au Mizengo Pinda?

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029


Wajumbe wa mkutano mkuu NEC
===
Hatimaye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amemaliza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri kuu Leo kwa Mafanikio Makubwa kazi iliyobaki ni Mkutano Mkuu kesho tarehe 18.01.2025.

Rais Samia akiwa amevalia gauni la kijani na kilemba cheusi ameonekana ni mtu mwenye bashasha sana kiasi Cha kuwafanya wajumbe wa Mkutano Mkuu kuwa na furaha zaidi wakiamini anakwenda kuwaletea jembe la kazi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Nov 2025.




Wajumbe wa Kamati Kuu CC
 

Umekuaje kwa mafanikio wakati haukuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…