PICHA: Rais Samia katikati ya ulinzi mzito akijiandaa kupaa angani kuelekea Urusi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alivyokuwa akiondoka na kujiandaa kuiacha Ardhi ya Tanzania na Kupaa Angani Kuelekea Nchini Urussi katika Moja ya Safari za kihistoria kwa Taifa letu.

Ni safari ya kihistoria,ni ziara yenye kuacha alama na kumbukumbu,ni ziara na safari itakayosomwa na kuandikwa katika vitabu na majarida mbalimbali Duniani kote.

Rais wetu anaendelea kuchanja Mbuga katikati Ya Dunia, anaendelea kuliheshimisha Taifa letu na kuliweka katika kilele cha mafanikio ya Siasa za kimataifa.

Ni ziara yenye manufaa na Faida kwa Taifa letu ambayo itatupatia manufaa na faida kama Taifa hasa kwa kuzingatia sera yetu ya mambo ya nje ambayo imejikita katika Diplomasia ya uchumi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

IMG-20260602-WA0034.jpg
 
View attachment 3599951
Zuria jekundu,jekundu kweli!
 
mara paap limetokea la kutokea angani..nyieee !
 
Hippopotumus
 
Mnatumia muda na pesa za walalahoji masikini kulipa watu wengi kumwangalia mtu aliyeiba kura, kuuwa vijana, kuteka, kukandamiza demokrasia wewe kwasababu ya uchawa tu unaunga mkono ujinga. Mnapenda sana kuunga mkono mambo ambayo hayana tija. Woga wa nini kama wewe ni mtu wa watu kwa nchi masikini kama hii
 
Back
Top Bottom