Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #41
Mengine yanakuwa siri ambayo Raia wa kawaida hupaswi kujuaNdiyo Ina maana gani? Au Ina maanisha Nini?
Mengine yanakuwa siri ambayo Raia wa kawaida hupaswi kujuaNdiyo Ina maana gani? Au Ina maanisha Nini?
Hata sisi hao mashoga wenzenu wa Magharibi hatuwapendi na hatutaki kabisa kuwasikia. Mama ,ukialikwa hata Uchina nenda tu,hata North Korea nenda,tupo bega kwa bega na wewe. Ni baraka kubwa sana na neema kwako kukataliwa na mashoga kwani hata Mungu kawalaani.Huku magharibi nasikia siku hizi hataki hata kumsikia.
Siku hizi eti kila mtu kawa chawa hizi elfu 7 zimeharibu sana watu. Njaa mbayaHata sisi hao mashoga wenzenu wa Magharibi hatuwapendi na hatutaki kabisa kuwasikia. Mama ,ukialikwa hata Uchina nenda tu,hata North Korea nenda,tupo bega kwa bega na wewe. Ni baraka kubwa sana na neema kwako kukataliwa na mashoga kwani hata Mungu kawalaani.
Wewe ndiye huna akiliHii ni maajabu, form 4 faulure analindwa na ulinzi mkali!.
Endeleeni kuchanganyikiwa na kucheza ngoma ya CCM Maana hamjitambui kabisa Ninyi.