Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
Wee zuzu kweli!!Rais Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Wee zuzu kweli!!Rais Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Heshima na hadhi ya Rais wetu ni kubwa sana na ni kiongozi Mwenye ushawishi mkubwa sana Duniani koteDaaah wakifika urusi wanapakiwa kwenye NOA au COSTA.
Kazi ni kipimo cha utu
Zuzu MwenyeweWee zuzu kweli!!
Acha wivu weweMnatumia muda na pesa za walalahoji masikini kulipa watu wengi kumwangalia mtu aliyeiba kura, kuuwa vijana, kuteka, kukandamiza demokrasia wewe kwasababu ya uchawa tu unaunga mkono ujinga. Mnapenda sana kuunga mkono mambo ambayo hayana tija. Woga wa nini kama wewe ni mtu wa watu kwa nchi masikini kama hii
We elimu yako ndogo sana. Yaani unaweza kumuonea wivu hippopotumus kwa kupewa PhD ya karatasi. Ambayo kiuharisia haina maana yoyote.Acha wivu wewe
Maji machafu yananyewa na kuogwa pia shitholeniRais Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Wewe ni mtoto wa hippopotumus?Maji machafu yanaogwa pia shitholeni
Mimi hawara wa mama yako, nalala naye Kumbe hujui baba zako wa hiyari?Wewe ni mtoto wa hippopotumus?
Acha matusiMimi hawara wa mama yako, nalala naye Kumbe hujui baba zako wa hiyari?
Unalipwa kiasi Gani hata kuwa mjinga kiasi hiki????Rais Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Chawa mdogo tunza kumbukumbu tu siku ikifika utabadili ID yako. Huyu tepetepe mwashambwa yeye kichomponza ni njaa zake ila anajua ukweli dhambi zote ccm watazilipa hapa hapaVizuri tunajua bado umelala ukiamka utakuta picha ya kweli kweli lkn ipo kinyume chake!!!!!!
ni Lissu ndio yupo kwenye basi la kijani akitokea Keko kwenda Mahakamani ✍️
Uwe na adabu dogo . Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo VirojaChawa mdogo tunza kumbukumbu tu siku ikifika utabadili ID yako. Huyu tepetepe mwashambwa yeye kichomponza ni njaa zake ila anajua ukweli dhambi zote ccm watazilipa hapa hapa
Rais wetu ni akili kubwa sana . Ndio maana anaendelea kupata heshima kutoka maeneo mbalimbali DunianiMbobevu wa PhD za kununua
Endelea kujidanganya na kujitoa ufahamuRais wetu ni akili kubwa sana . Ndio maana anaendelea kupata heshima kutoka maeneo mbalimbali Duniani
Acheni wivu na chuki binafsiEndelea kujidanganya na kujitoa ufahamu
Kuna mwamba hapo kushoto naona anatoa signal ....sijaielewa hiyo signal Ina maanisha Nini???Ndugu zangu Watanzania,
Hivi ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alivyokuwa akiondoka na kujiandaa kuiacha Ardhi ya Tanzania na Kupaa Angani Kuelekea Nchini Urussi katika Moja ya Safari za kihistoria kwa Taifa letu.
Ni safari ya kihistoria,ni ziara yenye kuacha alama na kumbukumbu,ni ziara na safari itakayosomwa na kuandikwa katika vitabu na majarida mbalimbali Duniani kote.
Rais wetu anaendelea kuchanja Mbuga katikati Ya Dunia, anaendelea kuliheshimisha Taifa letu na kuliweka katika kilele cha mafanikio ya Siasa za kimataifa.
Ni ziara yenye manufaa na Faida kwa Taifa letu ambayo itatupatia manufaa na faida kama Taifa hasa kwa kuzingatia sera yetu ya mambo ya nje ambayo imejikita katika Diplomasia ya uchumi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3599951
Mambo ya Kiusalama hayoKuna mwamba hapo kushoto naona anatoa signal ....sijaielewa hiyo signal Ina maanisha Nini???
Mambo ya Kiusalama hayo