Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Rais Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuuHuku magharibi nasikia siku hizi hataki hata kumsikia.
Nikweli ila ndio hivyo nchi za magharibi na ulaya hawezi tia miguu kwa aibuRais Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Zuria jekundu,jekundu kweli!Ndugu zangu Watanzania,
Hivi ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alivyokuwa akiondoka na kujiandaa kuiacha Ardhi ya Tanzania na Kupaa Angani Kuelekea Nchini Urussi katika Moja ya Safari za kihistoria kwa Taifa letu.
Ni safari ya kihistoria,ni ziara yenye kuacha alama na kumbukumbu,ni ziara na safari itakayosomwa na kuandikwa katika vitabu na majarida mbalimbali Duniani kote.
Rais wetu anaendelea kuchanja Mbuga katikati Ya Dunia, anaendelea kuliheshimisha Taifa letu na kuliweka katika kilele cha mafanikio ya Siasa za kimataifa.
Ni ziara yenye manufaa na Faida kwa Taifa letu ambayo itatupatia manufaa na faida kama Taifa hasa kwa kuzingatia sera yetu ya mambo ya nje ambayo imejikita katika Diplomasia ya uchumi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3599951
Kwani lazima.Nikweli ila ndio hivyo nchi za magharibi na ulaya hawezi tia miguu kwa aibu
mara paap limetokea la kutokea angani..nyieee !Ndugu zangu Watanzania,
Hivi ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alivyokuwa akiondoka na kujiandaa kuiacha Ardhi ya Tanzania na Kupaa Angani Kuelekea Nchini Urussi katika Moja ya Safari za kihistoria kwa Taifa letu.
Ni safari ya kihistoria,ni ziara yenye kuacha alama na kumbukumbu,ni ziara na safari itakayosomwa na kuandikwa katika vitabu na majarida mbalimbali Duniani kote.
Rais wetu anaendelea kuchanja Mbuga katikati Ya Dunia, anaendelea kuliheshimisha Taifa letu na kuliweka katika kilele cha mafanikio ya Siasa za kimataifa.
Ni ziara yenye manufaa na Faida kwa Taifa letu ambayo itatupatia manufaa na faida kama Taifa hasa kwa kuzingatia sera yetu ya mambo ya nje ambayo imejikita katika Diplomasia ya uchumi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3599951
Atatua katika kila Nchi hadi whitehouse Marekani. Kila nchi Inatamani kufanya kazi na Rais SamiaNikweli ila ndio hivyo nchi za magharibi na ulaya hawezi tia miguu kwa aibu
HippopotumusNdugu zangu Watanzania,
Hivi ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alivyokuwa akiondoka na kujiandaa kuiacha Ardhi ya Tanzania na Kupaa Angani Kuelekea Nchini Urussi katika Moja ya Safari za kihistoria kwa Taifa letu.
Ni safari ya kihistoria,ni ziara yenye kuacha alama na kumbukumbu,ni ziara na safari itakayosomwa na kuandikwa katika vitabu na majarida mbalimbali Duniani kote.
Rais wetu anaendelea kuchanja Mbuga katikati Ya Dunia, anaendelea kuliheshimisha Taifa letu na kuliweka katika kilele cha mafanikio ya Siasa za kimataifa.
Ni ziara yenye manufaa na Faida kwa Taifa letu ambayo itatupatia manufaa na faida kama Taifa hasa kwa kuzingatia sera yetu ya mambo ya nje ambayo imejikita katika Diplomasia ya uchumi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3599951
Acha kukurupuka kama kuku anayeanza kutaga..."chini ya ulinzi mkali"...?Kwani kafanya uhalifu gani?Ameshakamatwa kwa uhalifu wa mauaji ya Oktoba 29?
Huwezi ukaelewa maana umepofushwa na ukabila na ukandaAnajilinda na nini wakati alipata 98%?
Yani hiyo 2% ndio inamtisha?
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzuMwendo ni uleule Siku moja itakuwa msafara kutoka Keko to Kisutu basi la kijani
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alivyokuwa akiondoka na kujiandaa kuiacha Ardhi ya Tanzania na Kupaa Angani Kuelekea Nchini Urussi katika Moja ya Safari za kihistoria kwa Taifa letu.
Ni safari ya kihistoria,ni ziara yenye kuacha alama na kumbukumbu,ni ziara na safari itakayosomwa na kuandikwa katika vitabu na majarida mbalimbali Duniani kote.
Rais wetu anaendelea kuchanja Mbuga katikati Ya Dunia, anaendelea kuliheshimisha Taifa letu na kuliweka katika kilele cha mafanikio ya Siasa za kimataifa.
Ni ziara yenye manufaa na Faida kwa Taifa letu ambayo itatupatia manufaa na faida kama Taifa hasa kwa kuzingatia sera yetu ya mambo ya nje ambayo imejikita katika Diplomasia ya uchumi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3599951
Vizuri tunajua bado umelala ukiamka utakuta picha ya kweli kweli lkn ipo kinyume chake!!!!!!Mwendo ni uleule Siku moja itakuwa msafara kutoka Keko to Kisutu basi la kijani