PICHA: Rais Samia katikati ya ulinzi mzito akijiandaa kupaa angani kuelekea Urusi

Acha wivu wewe
 
Vizuri tunajua bado umelala ukiamka utakuta picha ya kweli kweli lkn ipo kinyume chake!!!!!!

ni Lissu ndio yupo kwenye basi la kijani akitokea Keko kwenda Mahakamani ✍️
Chawa mdogo tunza kumbukumbu tu siku ikifika utabadili ID yako. Huyu tepetepe mwashambwa yeye kichomponza ni njaa zake ila anajua ukweli dhambi zote ccm watazilipa hapa hapa
 
Kuna mwamba hapo kushoto naona anatoa signal ....sijaielewa hiyo signal Ina maanisha Nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…