PICHA: Rais Samia katikati ya ulinzi mzito akijiandaa kupaa angani kuelekea Urusi

Huku magharibi nasikia siku hizi hataki hata kumsikia.
Hata sisi hao mashoga wenzenu wa Magharibi hatuwapendi na hatutaki kabisa kuwasikia. Mama ,ukialikwa hata Uchina nenda tu,hata North Korea nenda,tupo bega kwa bega na wewe. Ni baraka kubwa sana na neema kwako kukataliwa na mashoga kwani hata Mungu kawalaani.
 
Siku hizi eti kila mtu kawa chawa hizi elfu 7 zimeharibu sana watu. Njaa mbaya
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…