Picha: Rais Samia kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024.







Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella.
 
Kuna haja? Extra Vaganti, huwezi amini kuna shule wanatumia vyoo vya makuti
 
Badala ya kujadili hoja muhimu mnawaza fedha fedha.... Marehemu mlimsema Kwa sababu ya fedha.....bado mnaendelea kusimanga wengine ....kwa sababu za fedha....👹👹👹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…