Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Lini walianza kumpenda?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024.
View attachment 2906159
View attachment 2906163
View attachment 2906162
Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella.
Ukiona yangeyange wanalia sana msibani ujue kuna jambo usilolijua