Picha: Rais Samia kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

Lini walianza kumpenda?
Ukiona yangeyange wanalia sana msibani ujue kuna jambo usilolijua
 
Mnakaa mnachelewesha mama wa watu kwenye vikao wekeni ndege mafuta asafiri nchi bado nyingi ambazo ajaenda
 
Una maana gani ?
Hakuna mtanzania aliyewahi kuthibitisha kuwa lowassa ni Fisadi.

Wale waropokaji wa Chadema mwisho wa siku walijikuta wanaingia kwenye zoezi gumu la kumsafisha mtu waliyemtangaza kuwa ni fisadi.
Lowasa alijisafisha mwenyewe kwa kumtaja kikwete ndio muhusika wa yale madili
 
Ni kikao cha wezi wa kura na mali za umma
 
R I P laigwanani comrade ENL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…