Picha: Rais Samia kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

Mwenyezi Mungu huzipokea roho zinapokufa. Na zile zisizokufa wakati wa kulala kwake. Huzishika zilizohukumiwa kufa, na huzirudisha nyingine mpaka ufike wakati uliowekwa. Hakika katika hayo bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanaofikiri.
(Suratuz Zumar, Na. 39, Aayaa 42)
 
Mama akirejesha Demokrasia ndani ya Nchi hata kama Mawaziri wake wamegeuka wezi wa kutupwa Historia itamkumbuka.
Unamawazo ya kijinga sana. Yaani unaona bora mawaziri waibe ila mpewe demokrasia ya kunadamana mabarabarani! Hizi akili huwa mnazitoa wapi!
 
Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella.
Naona ni kama wamekaa kwenye tent
 
Sasa hivi naona dew drop ndo mpango mzima. siyo Kilimanjaro tena😁 R.I.P uzalendo
 
Tanesco ni mavi matupu...huyu mama ni kimeo kwelikweli...
Wacha akate mitaa kwanza alikuwa anamsindikiza JPM
 
Katoka kuzurura huko kesharukia shughuli nyingine.
 
Una maana gani ?
Hakuna mtanzania aliyewahi kuthibitisha kuwa lowassa ni Fisadi.

Wale waropokaji wa Chadema mwisho wa siku walijikuta wanaingia kwenye zoezi gumu la kumsafisha mtu waliyemtangaza kuwa ni fisadi.
Yeye mwenyewe lowassa hajawahi kukanusha popote pale kuwa sio fisadi mpaka anakwenda kaburini,Sana sana alisema besa alikuwa anagawa alikuwa akipewa na rafiki zake,kihusu ufisadi wake hakuwahi kukanusa popote pale pamoja na kuandamwa na vyombo vya habari na wanasiasa wenzake.
 
Unamawazo ya kijinga sana. Yaani unaona bora mawaziri waibe ila mpewe demokrasia ya kunadamana mabarabarani! Hizi akili huwa mnazitoa wapi!
Hata wewe ukipewa Uwaziri utaiba tu, sema hujapata FURSA 👈huu ndio ukweli.
 
Rais Samia anapiga kazi. Yupo imara sana! Mungu akutunze Rais wetu.
 
Perdiem kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…