PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

kuna mtu alimkoti Nyerere sikumbuki alisemaje sijui
Nimekumbuka ile quote ya Nyerere unayoisema….. usishikane mikono na babu wa kizungu kama hujawahi kufanya hivyo kwa mtanzania mwenzio…
 
Kwa taarifa yako hawa wanaoandika negative about our President ni sukuma gang. Mama awakanye wanawe huko Lumumba.
 
Wageni wote wanaoingia nchini wanapimwa kabla ya kuruhusiwa kuendelea na shughuli zilizowaleta
 
Jamani give her a break, khaaa! Si na hakika kama wengi wetu hatuujui upendo wa Mama ulivyo kwa wanae. Na amini wengi mmeupitia hata kama ni mama mlezi si wakubeba tumboni mwake kwa miezi 9 lakini bado haijalishi Mama ni Mama tu.
# tag Give a value deserves to Mother's love.
 
Nyerere slogan ilikua kilimo ndio uti wa mgongo
Mwnyi akaja na ruksa
Mkapa ukweli na uwazi
Kikwete ari mpya kasi mpya nguvu mpya
Magufuli tz ya viwanda
Samia utaliii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…