PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

Kachafuliwa wap sasa hapa na wewe mbona povu tu kama huelewi?
 
Duh!!? Hivi Rais angekua mwanaume wangeshikana hivo?!

Mbona najisikia vibaya hivi?!!!
 
Hii ni dharau kwa mamlaka ya urais.

Huyu mama anaufanya urais kuwa kitu kidogo sana
True Very stupid ,tusubiri wazungu kutushika matako tu wasasa ,nchi inaitaji kiongozi jasiri mwenye upeo siyo kusujudia mzungu
Huyo tuliye naye anataka tuishi kwa kila neno litokalo kwa mzungu
 
Mpango upo, katiba inaruhusu na sasa hivi tuna uzoefu🤣
 
Kwani huyo mzungu ni nani hasa? anatambulikaje kwenye tasnia ya utalii?
Huyo mzungu ni bash matata yupo hadi kwenye picha za xnxx miaka ya 1992 hadi 2002
 
Walinzi wa rais wanachemka sana, ikumbukwe kuchanja Jonhson and Jonhson sio uhakika wa kutopata maambukizi ya Uviko -19
View attachment 1933608
Nchi imeshikwa na deep state sasa,shadow government ndio inaongoza nchi,mama yupo kama alama tu she is like petty dog,burking dog with out teeth.
Security organs,PM,senior executives,Kikwete na mtandao wake,hao ndio wanaikimbiza nchi.
Juzi wakati Ndugai anaongelea matumizi mabaya ya pesa ya umma yanayofanywa na mawaziri kwa kusafiri kila wakati kuja Dar,Waziri mkuu alikuwa anacheka cheka tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…