PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

Peter S ni mmarekani, mwandishi wa habari. Ndiyo mwandaaji na muongozaji wa vipindi vya THE ROYAL TOUR ndani ya Shirika la habari la usambazaji matangazo la umma huko Marekani PBS.
CBS?
 
Walinzi wa rais wanachemka sana, ikumbukwe kuchanja Jonhson and Jonhson sio uhakika wa kutopata maambukizi ya Uviko -19
View attachment 1933608
Labda covid 19 ilikuwa inamtafuta Hayati JPM.maana alipofariki tu wimbi Kali liliondoka!! Mashambulizi kutoka kwa wapinzani kwenda kwa JPM kuhusu corona yalikuwa mengi sana jamani.JPM jipumzikie kwa amani huko uliko!! Osama bin laden aliuawa baada ya chanjo feki kutumia kuwadunga wajukuu zake !!
 
Back
Top Bottom