Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Kama Nuru na Mwanga Gizani, ni Tumaini la Watanzania, ni kipenzi cha watu. Anakubalika ,kupendwa na kuaminika utafikiri Nabii mwenye Kibali cha Mungu mkononi pake.
Upendo anaopewa na kuonyeshwa na watanzania ni upendo wa kipekee,ni zaidi ya upendo wenyewe,ni zaidi ya kupendwa. Mama anapendwa haijawahi kutokea . Watu wanamiminika na kufurika kwenye mikutano yake unaweza fikiri pengine Tanzania nzima imekusanyika eneo moja.
Ni mgombea na kiongozi Mwenye mvuto na ushawishi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Taifa letu. Mama Samia Ni Kiongozi aliyefanikiwa kuteka mioyo ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na uliogusa na kubadilisha Maisha ya watanzania wote.
Ndio sababu watu wanamiminika na kufurika kwenye mikutano yake kwa hiari yao kabisa . Watu wanamuona na kumtizama Rais Samia kama Mkombozi wao. Wakimtizama na kumsikiliza wanaona tumaini mbele yao.wanaona majawabu ya maswali yao. Wanaona njia mahali walipokuwa njia panda.wanaona uelekeo wenye matumaini. wanaona ustawi wao na wajukuu zao.wanaona fursa zikimgusa kila mmoja wao.
Ndio sababu wanaona ni Mama pekee na kiongozi na mgombea anayestahili kuendelea kuliongoza Taifa letu na kuendelea kumuunga mkono kwa nguvu zao zote ili arejee Ikulu. Kwa hakika ukipewa kibali na Mungu unapewa pamoja na maarifa na njia. Mama yetu Mpendwa ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Hazuiliki kwa mikono ya wenye chuki binafsi . Hakuna awezaye kumshusha kwa chuki zake binafsi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.