GE2025 PICHA: Rais Samia ni nuru. Hakuna kiongozi amewahi kupata mapokezi ya aina hii Mtwara tokea kuumbwa kwa Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani wewe umeingiaje. Au kuna geti hapa la kuingilia ambalo wengine hawaruhusiwi kupita.
Wote tumezuiwa kuingia kwenye nyumba hii including wewe toto jinga pendwa sisi wengine tukiingilia madirishani hakuna atayetushangaa kwasababu hatupendwi Sasa wewe unapendwa na ujinga wako halafu unaruka dirishani kama sisi huoni aibu? Je utajisifu tunapendwa?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais Samia ni Kama Nuru na Mwanga Gizani, ni Tumaini la Watanzania, ni kipenzi cha watu. Anakubalika ,kupendwa na kuaminika utafikiri Nabii mwenye Kibali cha Mungu mkononi pake.

Upendo anaopewa na kuonyeshwa na watanzania ni upendo wa kipekee,ni zaidi ya upendo wenyewe,ni zaidi ya kupendwa. Mama anapendwa haijawahi kutokea . Watu wanamiminika na kufurika kwenye mikutano yake unaweza fikiri pengine Tanzania nzima imekusanyika eneo moja.

Ni mgombea na kiongozi Mwenye mvuto na ushawishi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Taifa letu. Mama Samia Ni Kiongozi aliyefanikiwa kuteka mioyo ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na uliogusa na kubadilisha Maisha ya watanzania wote.

Ndio sababu watu wanamiminika na kufurika kwenye mikutano yake kwa hiari yao kabisa . Watu wanamuona na kumtizama Rais Samia kama Mkombozi wao. Wakimtizama na kumsikiliza wanaona tumaini mbele yao.wanaona majawabu ya maswali yao. Wanaona njia mahali walipokuwa njia panda.wanaona uelekeo wenye matumaini. wanaona ustawi wao na wajukuu zao.wanaona fursa zikimgusa kila mmoja wao.

Ndio sababu wanaona ni Mama pekee na kiongozi na mgombea anayestahili kuendelea kuliongoza Taifa letu na kuendelea kumuunga mkono kwa nguvu zao zote ili arejee Ikulu. Kwa hakika ukipewa kibali na Mungu unapewa pamoja na maarifa na njia. Mama yetu Mpendwa ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Hazuiliki kwa mikono ya wenye chuki binafsi . Hakuna awezaye kumshusha kwa chuki zake binafsi.View attachment 3479517

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

IMG-20250916-WA0000.jpg
IMG-20250926-WA0005.jpg
IMG-20250926-WA0006.jpg
IMG-20250926-WA0007.jpg
 
Chawa la mafisadi , zile bilioni 2.4 zingetumika ipasavyo zingeleta basi ambazo watu wasingekaa hivi kama magunia ila kwakuwa wewe umepata tabia za unyani huoni haya yanayoendelea umejigeuza kiziwi kama huyo bibi alivyojiita chura kiziwi.

Halafu umesajili VPN yako TCRA? , maana huo ujima ameuleta huyo mama yenu ambaye unamsifia hapa.
 
Wote tumezuiwa kuingia kwenye nyumba hii including wewe toto jinga pendwa sisi wengine tukiingilia madirishani hakuna atayetushangaa kwasababu hatupendwi Sasa wewe unapendwa na ujinga wako halafu unaruka dirishani kama sisi huoni aibu? Je utajisifu tunapendwa?
Mimi nimeingia bila kuruka ukuta.
 
Zamani, watu wa aina ya Mwadhamvwa walikuwa wanaitwa machizi, sijui siku hizi wanairwaje!

Mtu kwa kuogopa aibu ya kukpsa watu, analazimika kuzunguka na watu kwenye mabasi 15, kila moja likibeba watu 70, halafu anatumia malori kuwasomba wanavijiji, halafu chizi moja lisilojitambua linasema eti anapendwa!!

Kama anapendwa si angeacha kusafiri na hao watu 1,000 wa kwenye mabasi, na aache kuwasomba wanavijiji kwa malori, asubirie wangapi watakaompokea huko anakpenda?

Kitendo cha kuzunguka na wale wale kila mahali na kuwafanya ni wenyeji wa hapo alipoenda, inadhihirisha kuwa ana hofu ya kuwakosa watu wa kumpokea.
 
Back
Top Bottom