Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Tofautisha wingi na umoja/ plural and singularKwani hapa siyo mtandaoni?
Tofautisha wingi na umoja/ plural and singularKwani hapa siyo mtandaoni?
Aibu kubwa hii kwa Tanganyika as if huku Tanganyika hakuna wanaume wenye uwezo wa kuwa Rais hati kutawaliwa na mgeni toka nchi jirani ya Zanzibar tena mwanamke.
Just imagine, fedheha kubwa.Aibu kubwa hii kwa Tanganyika as if huku Tanganyika hakuna wanaume wenye uwezo wa kuwa Rais hati kutawaliwa na mgeni toka nchi jirani ya Zanzibar tena mwanamke.
Wewe unadhani wote tunalingana?Kwani wewe umeingiaje. Au kuna geti hapa la kuingilia ambalo wengine hawaruhusiwi kupita.
Kwa hivyo kama yeye hajatekwa ndio sawa kuteka hao wengine...wakosoaji wa sa100?!.Mbona wewe hujatekwa wala kuuwawa
😹😹😹Macho malegevu hapo kungu nyingi ametafuna na K Vant
Hakuna aliyetekwaKwa hivyo kama yeye hajatekwa ndio sawa kuteka hao wengine...wakosoaji wa sa100?!.
Uje ujaribu utaona cha mtema kuni.Sema sikujui yaani ungekula mitama kila siku nikiona huu upuuzi wako
Jukwaa hili siyo la Familia yako.Hivi ni kwa nini huwa mnacoment kwa huyu kota???
Hayo yoote yanakwenda kutatuliwa muda mfupi baada ya kuapishwa kwa awamu ya pili. Nenda katiki kwa Rais Samia na wagombea wa CCMAlafu kesho asubuhi unaamkia kwenda kupambania gari la umma
View attachment 3479999
Aisee wewe takataka utapata laana wewe na utakufa kifo kibaya mnoNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Kama Nuru na Mwanga Gizani, ni Tumaini la Watanzania, ni kipenzi cha watu. Anakubalika ,kupendwa na kuaminika utafikiri Nabii mwenye Kibali cha Mungu mkononi pake.
Upendo anaopewa na kuonyeshwa na watanzania ni upendo wa kipekee,ni zaidi ya upendo wenyewe,ni zaidi ya kupendwa. Mama anapendwa haijawahi kutokea . Watu wanamiminika na kufurika kwenye mikutano yake unaweza fikiri pengine Tanzania nzima imekusanyika eneo moja.
Ni mgombea na kiongozi Mwenye mvuto na ushawishi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Taifa letu. Mama Samia Ni Kiongozi aliyefanikiwa kuteka mioyo ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na uliogusa na kubadilisha Maisha ya watanzania wote.
Ndio sababu watu wanamiminika na kufurika kwenye mikutano yake kwa hiari yao kabisa . Watu wanamuona na kumtizama Rais Samia kama Mkombozi wao. Wakimtizama na kumsikiliza wanaona tumaini mbele yao.wanaona majawabu ya maswali yao. Wanaona njia mahali walipokuwa njia panda.wanaona uelekeo wenye matumaini. wanaona ustawi wao na wajukuu zao.wanaona fursa zikimgusa kila mmoja wao.
Ndio sababu wanaona ni Mama pekee na kiongozi na mgombea anayestahili kuendelea kuliongoza Taifa letu na kuendelea kumuunga mkono kwa nguvu zao zote ili arejee Ikulu. Kwa hakika ukipewa kibali na Mungu unapewa pamoja na maarifa na njia. Mama yetu Mpendwa ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Hazuiliki kwa mikono ya wenye chuki binafsi . Hakuna awezaye kumshusha kwa chuki zake binafsi.View attachment 3479517
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwahiyo kumbe ni kuwashwa tuSilipwi
Pumbavu kabisa wewe chawa.Hayo yoote yanakwenda kutatuliwa muda mfupi baada ya kuapishwa kwa awamu ya pili. Nenda katiki kwa Rais Samia na wagombea wa CCM
Mwanetu Lucas kama LucasHayo yoote yanakwenda kutatuliwa muda mfupi baada ya kuapishwa kwa awamu ya pili. Nenda katiki kwa Rais Samia na wagombea wa CCM