Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Nimesoma maoni yako hapa tayariLucas hivi huwa unasoma maoni ya wengine mitandaoni?
Watu wa aina yake wanakuwa wamekatwa ile mishipa ya aibu. Angekuwa ana mshipa wa aibu, asingejaribu kuleta upuuzi wake humu jukwaani.Huoni aibu kuingia kwenye jukwaa lililofungwa na huyo unayemsifia?
Wewe umeruhusiwa kutumia VPN au ubaibia tu kinyume na amri ya serikali?Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Kama Nuru na Mwanga Gizani, ni Tumaini la Watanzania, ni kipenzi cha watu. Anakubalika ,kupendwa na kuaminika utafikiri Nabii mwenye Kibali cha Mungu mkononi pake.
Upendo anaopewa na kuonyeshwa na watanzania ni upendo wa kipekee,ni zaidi ya upendo wenyewe,ni zaidi ya kupendwa. Mama anapendwa haijawahi kutokea . Watu wanamiminika na kufurika kwenye mikutano yake unaweza fikiri pengine Tanzania nzima imekusanyika eneo moja.
Ni mgombea na kiongozi Mwenye mvuto na ushawishi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Taifa letu. Mama Samia Ni Kiongozi aliyefanikiwa kuteka mioyo ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na uliogusa na kubadilisha Maisha ya watanzania wote.
Ndio sababu watu wanamiminika na kufurika kwenye mikutano yake kwa hiari yao kabisa . Watu wanamuona na kumtizama Rais Samia kama Mkombozi wao. Wakimtizama na kumsikiliza wanaona tumaini mbele yao.wanaona majawabu ya maswali yao. Wanaona njia mahali walipokuwa njia panda.wanaona uelekeo wenye matumaini. wanaona ustawi wao na wajukuu zao.wanaona fursa zikimgusa kila mmoja wao.
Ndio sababu wanaona ni Mama pekee na kiongozi na mgombea anayestahili kuendelea kuliongoza Taifa letu na kuendelea kumuunga mkono kwa nguvu zao zote ili arejee Ikulu. Kwa hakika ukipewa kibali na Mungu unapewa pamoja na maarifa na njia. Mama yetu Mpendwa ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Hazuiliki kwa mikono ya wenye chuki binafsi . Hakuna awezaye kumshusha kwa chuki zake binafsi.View attachment 3479517
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Moderators pigeni permanent ban hii takataka kwani alishabikia sana JF kufungiwa.Ndugu zangu Watanzania,

Kwani wewe umeingiaje. Au kuna geti hapa la kuingilia ambalo wengine hawaruhusiwi kupita.Huoni aibu kuingia kwenye jukwaa lililofungwa na huyo unayemsifia?
Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja.Moderators pigeni permanent ban hii takataka kwani alishabikia sana JF kufungiwa.
Mbona wewe hujatekwa wala kuuwawaNuru ya kuteka na kuua Watanganyika?
Lissu ndio nini? Ndio nani huyo?Labda nuru ya Kizimkazi. Nuru ya Tanganyika ni Lissu tu kwa sasa.
Hustahili hata kujibiwa maana mimi najibu wenye akili Timamu na wanaojitambua. Wewe nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendaloWewe ni taahira lazima ulikunywa maji machafu wakati unazaliwa. Pumbavu kabisa
Uzuri umejianika sana siku yako ikifika tunakuokota kama kuku wa mdondo na kazi hiyo nitaifanya kwa mikono yangu nina usongo sana na mbwa weweNdio maana nikasema ungewapisha wenye akili Timamu wajadili hoja.