GE2025 PICHA: Rais Samia ni nuru. Hakuna kiongozi amewahi kupata mapokezi ya aina hii Mtwara tokea kuumbwa kwa Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watu kama huyu huwa wana sifa kuu ya kuwa kigeugeu

Keshokutwa usishangae huyu huyu akaanza kumponda huyu mama.
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ukimchukia unakuwa unajisumbua Mwenyewe tu. Nitampenda,kumheshimu ,kumkubali na kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi siku zote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…