GE2025 PICHA: Rais Samia ni nuru. Hakuna kiongozi amewahi kupata mapokezi ya aina hii Mtwara tokea kuumbwa kwa Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani wewe umeingiaje. Au kuna geti hapa la kuingilia ambalo wengine hawaruhusiwi kupita.
Wote tumezuiwa kuingia kwenye nyumba hii including wewe toto jinga pendwa sisi wengine tukiingilia madirishani hakuna atayetushangaa kwasababu hatupendwi Sasa wewe unapendwa na ujinga wako halafu unaruka dirishani kama sisi huoni aibu? Je utajisifu tunapendwa?
 

 
Your browser is not able to display this video.

Chawa la mafisadi , zile bilioni 2.4 zingetumika ipasavyo zingeleta basi ambazo watu wasingekaa hivi kama magunia ila kwakuwa wewe umepata tabia za unyani huoni haya yanayoendelea umejigeuza kiziwi kama huyo bibi alivyojiita chura kiziwi.

Halafu umesajili VPN yako TCRA? , maana huo ujima ameuleta huyo mama yenu ambaye unamsifia hapa.
 
Mimi nimeingia bila kuruka ukuta.
 
Zamani, watu wa aina ya Mwadhamvwa walikuwa wanaitwa machizi, sijui siku hizi wanairwaje!

Mtu kwa kuogopa aibu ya kukpsa watu, analazimika kuzunguka na watu kwenye mabasi 15, kila moja likibeba watu 70, halafu anatumia malori kuwasomba wanavijiji, halafu chizi moja lisilojitambua linasema eti anapendwa!!

Kama anapendwa si angeacha kusafiri na hao watu 1,000 wa kwenye mabasi, na aache kuwasomba wanavijiji kwa malori, asubirie wangapi watakaompokea huko anakpenda?

Kitendo cha kuzunguka na wale wale kila mahali na kuwafanya ni wenyeji wa hapo alipoenda, inadhihirisha kuwa ana hofu ya kuwakosa watu wa kumpokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…