Hajawahi kutaja umri wakeUmri wake unabadilika kila uchwao..
Zile methadone ndo zilimnenepesha vile sasa karudi kwenye sembeAlipata unene wa ghafla baada ya kuacha mara kesha kuwa hivi? ni amini labda itakuwa ni mambo ya gym.
angalieni mkono wa ray c jamani kama chid babu tale hajamuona nini
Wabongo mnataka nn?kipindi kile kawa bonge mlichonga nao kapungua mnachonga???
Gardner si karudisha ile Range! Watu kwa chuki zao walikuwa wanambishia Wema; sasa Jide huyo, kwa mbaaaaaaaali mambo yaanza kuumuka!Weh! Mbona jay dee kwenye picha hii kidude (kitako) kimeonekana kuumuka sana ??? Au photoshop ?? Dah, wakubwa wanafaidi
Method one ndio kitu gani?Atakuwa karudia sembe kipindi amenenepa alikuwa anatumia method one ya kutibu zile hunenepesha sana
Kwann anazd kubwia ngada ka choka sanaMwanamuziki mkongwe nchini, rehema chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini lady jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo kupitia ukurasa wake wa instagram mwanamuzik lady jaydee amempa pole mwanamuziki mwenzio huyo ambaye alikumbwa na janga la madawa ya kulevya, na kumsihi akaze moyo hili arudi kama zamani waweze kulisongesha gurudumu la muziki pamoja
View attachment 336426
Huyo wa katiRay c ni nani hapo?
Haha unapoteza nguvu kumuhurumia asiyejihurumiaMbona kapungua ivyo... Jamani mi namuombea tu apone jamani.. Sipendi habari mbaya za kumuhusu yeye.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] umri umeenda ila hapendiHivi huyo Lady Jayzee ana umri gani? Maana anaonekana kibibi kweli!
Aende msoga atatibiwaAlisha vurugika huyo
Mkuu umesema ukweli. Hujafa hujaumbikaTusimlaumu,huyu binti ameokoka na taratibu anabadilika,Usimcheke mamba hujavuka mto,wewe unacheka kumbe kakato ama dadayo yu atumia poda,eeh,tena si tuombe Mungu tuokoke maisha yaende.Hongera komandoo J dee,huo ulikuwa mpango wa Mungu Ray C kuwa hivyo ili amgeukie Mungu
Ray c ni nani hapo?
Kachakaa kama mkewe ray cHivi Mwisho Mwampamba yuko wapi kwanza??
Kuna kupungua kwa afya Ray C kachakaaWabongo mnataka nn?kipindi kile kawa bonge mlichonga nao kapungua mnachonga???
Itabaki kuwa story tu harudi...Seriously ray c hata kama hatarudi kwenye game her legacy shall stay forever...
Ray c alikuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike kuanza kufanya video nje enzi hizo.. daaah haya maisha jamani
Nakumbuka aunty yangu alikuwa akipenda sana nyimbo zake na alikuwa ana album zake zote, akanifanya na mimi nizipende..
Mungu amjalie apone, we all make mistakes,