Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

angalieni mkono wa Ray C jamani kama Chid, Babutale hajamuona nini
 
Kweli kiuno bila mfupa....sasa hivi anaweza kweli kukata uno?
 
Weh! Mbona jay dee kwenye picha hii kidude (kitako) kimeonekana kuumuka sana ??? Au photoshop ?? Dah, wakubwa wanafaidi
Gardner si karudisha ile Range! Watu kwa chuki zao walikuwa wanambishia Wema; sasa Jide huyo, kwa mbaaaaaaaali mambo yaanza kuumuka!
 
Mwanamuziki mkongwe nchini, rehema chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini lady jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo kupitia ukurasa wake wa instagram mwanamuzik lady jaydee amempa pole mwanamuziki mwenzio huyo ambaye alikumbwa na janga la madawa ya kulevya, na kumsihi akaze moyo hili arudi kama zamani waweze kulisongesha gurudumu la muziki pamoja
View attachment 336426
Kwann anazd kubwia ngada ka choka sana
 
Tusimlaumu,huyu binti ameokoka na taratibu anabadilika,Usimcheke mamba hujavuka mto,wewe unacheka kumbe kakato ama dadayo yu atumia poda,eeh,tena si tuombe Mungu tuokoke maisha yaende.Hongera komandoo J dee,huo ulikuwa mpango wa Mungu Ray C kuwa hivyo ili amgeukie Mungu
Mkuu umesema ukweli. Hujafa hujaumbika
 
Aisee madela yanawasaidia sana. Pole sana Sister'ngu Rehema. Mungu azidi kujalia afya njema.
 
Seriously ray c hata kama hatarudi kwenye game her legacy shall stay forever...

Ray c alikuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike kuanza kufanya video nje enzi hizo.. daaah haya maisha jamani

Nakumbuka aunty yangu alikuwa akipenda sana nyimbo zake na alikuwa ana album zake zote, akanifanya na mimi nizipende..

Mungu amjalie apone, we all make mistakes,
Itabaki kuwa story tu harudi...
 
Back
Top Bottom