Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

ntaendelea kumkumbuka kwa muziki wake...
 
Sasa nimeelewa ni kwanini nchi nyingine wanawapiga risasi hadharani wanaokamatwa na haya madawa.
 
Picha ya zamani...
 
Ray c kabla ya kuingia utangqazaj na mziki alikuwa anapiga mzik bana udj
Alikuwa anayaweza sana

Ova
 
Jde...., namshuru mungu sijajiingiza kwenye madawa ya kulevya,

Rayc,.,.... hata Kama niliingia kwenye madawa Ila kwa Sasa nahitwa mama, mungu ni mwema siku zote.

Yalijili kwenye mtandao wa x zamani Twitter, baada chid kumshauri jde ang'efanya nyimbo za dini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…