Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

ntaendelea kumkumbuka kwa muziki wake...
 
Sasa nimeelewa ni kwanini nchi nyingine wanawapiga risasi hadharani wanaokamatwa na haya madawa.
 
Mwanamuziki mkongwe nchini, rehema chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini lady jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo kupitia ukurasa wake wa instagram mwanamuzik lady jaydee amempa pole mwanamuziki mwenzio huyo ambaye alikumbwa na janga la madawa ya kulevya, na kumsihi akaze moyo hili arudi kama zamani waweze kulisongesha gurudumu la muziki pamoja
View attachment 336426
Picha ya zamani...
 
Ray c kabla ya kuingia utangqazaj na mziki alikuwa anapiga mzik bana udj
Alikuwa anayaweza sana

Ova
 
Jde...., namshuru mungu sijajiingiza kwenye madawa ya kulevya,

Rayc,.,.... hata Kama niliingia kwenye madawa Ila kwa Sasa nahitwa mama, mungu ni mwema siku zote.

Yalijili kwenye mtandao wa x zamani Twitter, baada chid kumshauri jde ang'efanya nyimbo za dini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom