Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

hii picha ni ya zamani sana, na nakumbuka jay dee aliwahi kuiweka kwenye blog yake.
 
Dah Rehema mimacho enzi zake mitaa ya mapambano alikua bonge la dada duu,aliskuli na wadogo zangu alikua ananata balaa!kweli dunia kigeugeu!pole Ray C
 
Aisee ngada noma bora weed...
Naamuru Shkuba achalazwe bakora 12 kila kukicha...
Masikini Ray c kawa "mifupa bila kiuno"
 
Duh! Amekonda sana. Au ndo alipatia na HIV huko katika kutumia madawa hayo?! Kuchangia sindano & ngono zembe.
 
Bangi itabaki kuwa the best kuliko Ngada..Amani kwa kaka Voda milionea wadogo zako wanazidi kula ngada wamesahau mmea
Hata Ray C alikuwa akidhani anavuta bangi kumbe Lord Eyes anamchanganyia na drugs huku akimwambia ni cha Arusha,bangi nzuri ni ya kunyonga mwenyewe na kuwa na pusha umwaminie tofauti na hapo wengi wamejikuta magari yamewaka bila kujua kwa kugongea bangi za wengine.
 
Mi naupenda sana ule unaitwa mapenzi matamu... ray c alikuwa anatoa hits tuu, kuna kipindi hadi jide alikuwa anakaa sema basi watu walikuwa wanamdiss ray c kwa kuwa alikuwa sista duu kinoma and ofcourse alikuwa anachafua boxa zao huku wakijua hawatompata..m

Ray c tafadhali kaa chini na jaribu kujiweka sawa uyashinde nguvu madawa
kuna kipindi walikua wanachuana na jide, ila kwa viuno tu jide alipigwa vya mbavu
 
Pamoja na uozo wote huu ..hivi kwa nini wauza sembe wanapeta tu huku watu hata walio maarufu wanaangamia !!!!...

Hawa wasanii wanamjua mchawi wao ila yakishawalipukia ndo wanaanzisha foundations tu bila kuwataja mahasimu wao......
Daaaahhhh ray c alikuwa kisu kinyama enzi zake ila kwa sasa anatia huruma.ana mchango mkubwa sana katika sanaa na utawala wake haujapata mrithi hadi leo kiasi cha mashabiki kumtaka arudi katika game maana viatuu vyake vinawapwaya waliopo...

RAY C HAVE MERCY ON YOURSELF, FAMILY , JAKAYA AND YOUR FANS
 
Back
Top Bottom