Picha: Rejeta yangu inamwaga maji kwa presha

Mmh!yan ubadilishe coolant kila baada ya km 3000 au 5000!🙄
 
Uzi ulikua unatoa elimu nzuri ila kuna watu wamekuja kuibadilisha umekua uzi wa kijinga
 
Kama mfuniko wa rejenta upo vizuri hapo shida ni Gaskets ya silinda head imekufa ndo inafanya hayo maji yanamwagika.
Vipi kuhusu feni kwamba haipulizi upepo kwenye rejeta ndiyo maana maji yanachemka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…