Picha: Rose Ndauka 'hakamatiki'

Picha: Rose Ndauka 'hakamatiki'

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Acha kabisa ! Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba' ke , Malick Bandawe kisha kurudi kwao , Kigogo jijini Dar , staa grade one wa Bongo Movies , Rose Donatus Ndauka anadaiwa hivi sasa hakamatiki hivyo hakauki viwanja .

Uchunguzi wa mambo limekuwa likimnyatia kwa ukaribu Rose unaonesha kwamba tangu ametengana na mwanaume huyo amekuwa huru kupita maelezo huku akionesha jeuri ya fedha kama ilivyokuwa kwa mastaa wenzake , Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja .

Pia uchunguzi huo ulibaini kwamba, mara tu baada ya kutoka ' kifungoni ' , Rose aliangusha bonge la sherehe ya ' bethidei' yake ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Collosseum , iliyopo Kariakoo jijini Dar na ndiko alikoanza kuonesha jeuri ya fedha .

Rose Ndauka akimwagia midolari Data zilionesha kwamba siku tishio ni ile ya Oktoba 18, mwaka huu ambapo Rose alikuwa kinara wa ushangiliaji wa timu yake ya Yanga, jambo ambalo siku za nyuma alikuwa hafanyi hivyo .

Siku hiyohiyo , baada ya kutoka uwanjani alikwenda kubadilisha mavazi yake ya njano na kijani kisha akatupia pamba za kuruka viwanja, akaibuka katika Tamasha la Fiesta kwenye Viwanja vya Leader , Kinondoni jijini Dar .

Akiwa ndani ya Leaders , Rose aliambatana na Mtangazaji wa Times FM , Khadija Shaibu ' Dida' ambapo alikuwa akihaha kumnasa mwanamuziki wa Marekani , T .I aliyetimba Bongo kutumbuiza kwenye tamasha hilo.

Kama hiyo haitoshi , Alhamisi iliyopita , Rose alithibitisha kwamba kwa sasa hashikiki kwani alitimba kwenye pati ya bethidei ya shoga' ke , Dida iliyofanyika nyumbani kwake, Mwananyamala , Dar ambapo alikuwa kinara wa kujiachia kwa kusakata muziki na kumwaga ' madolari' .

Ulipofika muda wa muziki , hapo ndipo Rose alipopagawa na kujikuta akikata mauno huku akipiga kelele ' raha jipe mwenyeweee…' Mwanahabari wetu alipotaka kujua kulikoni Rose kujiachia kiasi hicho, aliomba aachwe afurahie maisha.

Chanzo:
GPL
 

Attachments

  • 1414394852048.jpg
    1414394852048.jpg
    52.5 KB · Views: 3,902
amshukuru mungu alikuwa hajafunga pingu za maisha, sijui angempata wapi Michael Scofield aje ambreak
 
Hivi alichukuliwa kumbe!
Pole yake
si kazidiwa kete na yule mwenzie niliona kwenye gazeti eti anasema kama Batuli kamchukua sijui nani jina lake huyo bwana sawa kila la kheir nawatakia maisha mema sijui mashaka gani alokua akiyasema..

wala asingekua anarusha hela wala mtama wala mchele angetulia kimnyaaaaaaaa akatafuta mambo mengine maisha yakaendelea.........
 
anatafuta faraja viwanja kupunguza stress za kubwagwa
Angetulia tuu hivyo vijisent vyake vikamsaidia kununua hata A/C joto linakuja kwa kasi.....
Anamuonyesha mtu wakati amekuzidi Mizungu,akubali matokeo yajishie...........
 
Mbona kuna movie moja niliiona alicheza na late Kanumba na Patcho kama sikosei,,alikuwa na bonge la ushape aisee,ushuzii hinya..mbona hii picha inamuonesha yaani nyuma flat kabisa,upaja hana wala ushuzi haupo achilia mbali mahips..

Kweli huyu Malick sijui mbaya sana,kamtumia dada wa watu halafu kamtema
 
mbona kuna movie moja niliiona alicheza na late Kanumba na Patcho kama sikosei,,alikuwa na bonge la ushape aisee,ushuzii hinya..mbona hii picha inamuonesha yaani nyuma flat kabisa,upaja hana wala ushuzi haupo achilia mbali mahips..kweli huyu Malick sijui mbaya sana,kamtumia dada wa watu halafu kamtema

Mimi mwenyewe nimeshangaa na hivyo viguu tena looh!
Au labda ni 'diet' si unajua imekua fashion siku hizi....
 
she is screaming and weeping inside, but she cant be heard...
Mwache ajifariji anajaribu kuonyesha watu kuwa hakuumia.
 
mbona kuna movie moja niliiona alicheza na late Kanumba na Patcho kama sikosei,,alikuwa na bonge la ushape aisee,ushuzii hinya..mbona hii picha inamuonesha yaani nyuma flat kabisa,upaja hana wala ushuzi haupo achilia mbali mahips..kweli huyu Malick sijui mbaya sana,kamtumia dada wa watu halafu kamtema

haaaa! mkuu unamaanisha Malick alitafuna hadi shepu imechuja??? ila rose hanaga shepu kivile, reception ndo inamuuza lakini chini hamnaga kitu, mi sishangai ingawa hapo kwenye picha kazidi kuwa mbaya zaidi huku chini, chezea stress wewe!!
 
Anajifarijiiii for nothing,,,,hata dola 1 ni dola kwiiii kwiiiiii hizo pesa angepanga akaishi na mwanae mama mzima unarudi kwa mama kuishi khaaa???

Wamekutana na shoga ake Dida wanajifarijiii teh teh
 
hana maaiabu tena huyooo!!

Rose Ndauka alikua kisu jamani?kumbe alikua anategemea mabuzi ya kumuweka mjini???Malick alivyombana mtoto wa watu kaisha na alivyozaa tena.....
 
Anajifarijiiii for nothing,,,,hata dola 1 ni dola kwiiii kwiiiiii hizo pesa angepanga akaishi na mwanae mama mzima unarudi kwa mama kuishi khaaa???

Wamekutana na shoga ake Dida wanajifarijiii teh teh

Bina, rose na dida ni mtu na binamu yake kabisa.
 
Dah! Mi nikiangalia lips za huyu mdada taswira ya papuchi yake hujijenga machoni mwangu sijui kwanini?
 
Bina, rose na dida ni mtu na binamu yake kabisa.

We naee ushanigayaaaaa nilisoma koment kule sinta kidogo mbavu zibust,kuna dada alikua anaelezea anavyopenda kuvaa vimini wakati miguu yake ni stik

Kumbe ni mabinamu eeee tugauni tubaya walitotuvaaa
 
Back
Top Bottom