Picha: Rose Ndauka 'hakamatiki'

Picha: Rose Ndauka 'hakamatiki'

Nami nilitaka kuhoji hilo! Halafu ona vimapaja vyao kama kuku wangu. Hivi hawa ndo watu wanawapapatikia? Ndo maana jamaa kapiga chini

Wanaowapapatikia ni washamba tu..mwanaume anayejielewa hawezi kua na wanawake waswahili kama hao..
 
Anajaribu kuonyesha jamii kuwa "kitu gani bwana" wakati moyoni anaomba miujiza itokee. Kutengana na mume tena baba mtoto wako kunauma jamani.
 
Back
Top Bottom