Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
We naee ushanigayaaaaa nilisoma koment kule sinta kidogo mbavu zibust,kuna dada alikua anaelezea anavyopenda kuvaa vimini wakati miguu yake ni stik
Kumbe ni mabinamu eeee tugauni tubaya walitotuvaaa
Bina sijakugaya bana. Hahahaha nilisoma ya huyo mwenye tumiguu mwenzangu, nilicheka kiama, watu wana maneno balaa looooh. Wasalimie bwana ake Ashu na yule walioact askari na nurse na baby wake uwiiiiiiiiiii