Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
We naee ushanigayaaaaa nilisoma koment kule sinta kidogo mbavu zibust,kuna dada alikua anaelezea anavyopenda kuvaa vimini wakati miguu yake ni stik
Kumbe ni mabinamu eeee tugauni tubaya walitotuvaaa
anajifarijiiii for nothing,,,,hata dola 1 ni dola kwiiii kwiiiiii hizo pesa angepanga akaishi na mwanae mama mzima unarudi kwa mama kuishi khaaa???
Wamekutana na shoga ake dida wanajifarijiii teh teh
Bina sijakugaya bana. Hahahaha nilisoma ya huyo mwenye tumiguu mwenzangu, nilicheka kiama, watu wana maneno balaa looooh. Wasalimie bwana ake Ashu na yule walioact askari na nurse na baby wake uwiiiiiiiiiii
bina sijakugaya bana. Hahahaha nilisoma ya huyo mwenye tumiguu mwenzangu, nilicheka kiama, watu wana maneno balaa looooh. Wasalimie bwana ake ashu na yule walioact askari na nurse na baby wake uwiiiiiiiiiii
hahahaaaa kule ni shiidaaa
kuna dada anaulizia mganga ili akamroge bwana amuoe yaani!!
dida na ndauwandau mabinamu ila kuna kipindi walikua hawaelewani
wamepetana miaka ya hivi karibuni
nilitaka kusema hivyo hivyo.Hiyo picha ndio party gani hiyo jamani???Dida kakosa wapambaji?utadhani wanacheza jalalani....
nimeiona hiyo et miaka mitatu jamaa hata haongelei ndoa hhhhhhaaaaa, na mnuka mkojo umemsomaa
hahahaaaa
leo sijaingia ngoja niende yaani kuna vurugu kule
sintah mwenyewe anachambwa hatariii
nimeiona hiyo et miaka mitatu jamaa hata haongelei ndoa hhhhhhaaaaa, na mnuka mkojo umemsomaa
ila sinta hurusha tu koment hata anazochambwa yeye hhhhhhaaaaa
Hhhhhhhhaaa eti anauliza njia ipi ili anenepeshe miguu kuna mtu akamjibu apande bodaboda sijui bajaji avunjike miguu ndio itajaa nilichekaaaa
hahahaaaa kule ni shiidaaa
kuna dada anaulizia mganga ili akamroge bwana amuoe yaani!!
Aaaah mwehu yule, ngoja akajifanye kuroga while kuna njemba hazirogeki. Mwishowe atakosa yote kabisaa
Unaenda mroga halaf hasimamishi unArud kwa mganga unakuta keshahamaa,ni upuuzi tu kufikiria madawa madawaa
Aaah waache tu wahangaike, kama ipo ipo tu. Kazi ya kumtegemea mwanadamu mwenzangu siiwezi
alivaa ngozi ya kondoo na yeye ndo wale wale