Mimi mwenyewe nimeshangaa na hivyo viguu tena looh!
Au labda ni 'diet' si unajua imekua fashion siku hizi....
analea huyo. Amejifungua muda si mwingi sana na stress za kusalitiwa yawezekana ndio sababu ya kumkondesha
Mume wake alizaa nje ,yan aliwapa mimba wanawake wawili tofauti, rose akamaind akasepa
Hiyo ni party gani ya kufanyia sehemu mbaya vilee hadi kuna maudongo ka uchochoroni???? Khaaaa
Na hivyo vinguo utadhani wameokota yale malonyalonya ya sh.200 mtumbani? Haaah!!!!
Hahahaa haaaa mjinga kweli mwenzie anaoa huyo mwingine
Mi mwanamke mwenye manyonyo kama makalio ya khadija kopa ndo napenda binamu, mi siangalii sura wala shepu, nyonyo tu
Nilimshangaa rose kawezaje kutoka na jamaa mburula vile, jamaa shamba halafu linajifanya lijuaji
Aaaah mwehu yule, ngoja akajifanye kuroga while kuna njemba hazirogeki. Mwishowe atakosa yote kabisaa
Binamu wiki ijayo naenda Tanga kuangalia chumba cha kupanga mie dar inshanshinda