Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 Oct 30, 2014 #81 Hossam said: Nami nilitaka kuhoji hilo! Halafu ona vimapaja vyao kama kuku wangu. Hivi hawa ndo watu wanawapapatikia? Ndo maana jamaa kapiga chini Click to expand... Wanaowapapatikia ni washamba tu..mwanaume anayejielewa hawezi kua na wanawake waswahili kama hao..
Hossam said: Nami nilitaka kuhoji hilo! Halafu ona vimapaja vyao kama kuku wangu. Hivi hawa ndo watu wanawapapatikia? Ndo maana jamaa kapiga chini Click to expand... Wanaowapapatikia ni washamba tu..mwanaume anayejielewa hawezi kua na wanawake waswahili kama hao..
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Oct 31, 2014 Thread starter #82 brenda18 said: Hahahahah nacheka mie Click to expand... Za hasubuhi binamu
brenda18 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 5,687 Reaction score 5,287 Oct 31, 2014 #83 warumi said: Za hasubuhi binamu Click to expand... Salama binamu..asubuhi asubuh vipi ushamaliza kreti zako 9???
warumi said: Za hasubuhi binamu Click to expand... Salama binamu..asubuhi asubuh vipi ushamaliza kreti zako 9???
Rose M Senior Member Joined Oct 3, 2013 Posts 129 Reaction score 72 Oct 31, 2014 #84 Hahaa Wajina nae!! yetu macho
B binty mzazi Member Joined Jun 27, 2014 Posts 33 Reaction score 8 Nov 4, 2014 #85 Anajaribu kuonyesha jamii kuwa "kitu gani bwana" wakati moyoni anaomba miujiza itokee. Kutengana na mume tena baba mtoto wako kunauma jamani.
Anajaribu kuonyesha jamii kuwa "kitu gani bwana" wakati moyoni anaomba miujiza itokee. Kutengana na mume tena baba mtoto wako kunauma jamani.