Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Huko Mara CCM haina Chake tena Jamaa ndiyo kaharibu sana juzi alipopita anafikiri wale ni watu wa kuwafokea fokea, wenyeji wanasema alikosa lugha ya ustaarabu hivyo lazima wamuadhibu kupitia Sanduku la Kura.
Bahati mbaya sana Meko anafikiri wakurya ni sawa na wasukuma, kwamba unaweza kuwafokea wakatishika, mimi niliona mwenyewe pale kijiji cha mwitongo, hata kijana mdogo tu wa kikurya unapomwambia jambo anataka uoneshe unamuheshimu, ukileta dharau anakubadirikia kama paka dume, wanawake nao hawako nyuma, ukimtongoza ukaenda nae chumbani anaweza kukubadirikia ukatoka chumbani umeshika nguo zako mkononi, ninafurahi jinsi meko alivyoharibu kuwafokea hao jamaa kwani ameifuta ccm huko yeye mwenyewe.
 
 
Imani yaweza kuwa ya mashetani na nguvu za giza, ndio maana mnaongoza kwa mauaji ya watu wasio na hatia
 
Jaman navyompenda Henche, wanatarime please msiniangushe! Mpeni kura japokuwa mmeshatishiwa km mkichagua Chadema hakuna maendeleo ila Henche ni mwanaume na anafaa sana.
 
Mleta mada kaukimbia uzi.
Ester wa Covid 19 si ndo huyu aliefuta CCM Tarime?
CCM imefutwa nchi nzima na CHADEMA , haikufutwa na individuals , kingine ambacho hukijui kutuhusu ni jinsi tusivyo na mswalie mtume na wasaliti , mcheki Dr Slaa atakupa taarifa zetu
 
CCM imefutwa nchi nzima na CHADEMA , haikufutwa na individuals , kingine ambacho hukijui kutuhusu ni jinsi tusivyo na mswalie mtume na wasaliti , mcheki Dr Slaa atakupa taarifa zetu
Kama kawaida, wazee wa kubadili stori iendane na tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…