Namuona Instagram ni mmiliki wa duka
Lakini telegram anauzwa kwa laki moja tu..
Sijawahi elewa wapi ndo kuna ukweli..
Same with sanchoka
Telegram anauzwa
Instagram ni star..
Sijawahi elewa wapi ndo uongo wapi ukweli
Kwenye mitandao kuna watu wanatumia picha za watu wengine kutangaza biashara zao.
Ukiingia deal unakutana na mtu tofauti. Ukitaka kuhakiki omba video call uone.