GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Hawa watu kwenye hizi picha ni Polisi na TISS.

Hawa ndo walikuwa wanapita mitaani na kuwaminia risasi ndugu zetu, hawa watu wameuwa maelfu ya Watanzania.

Ukizoom sura zao zinaonekana, umemtambua yeyote?

1762244114303.png

1762244093369.png

1762244253368.png

1762243924282.png
 
Achana na hizo hisia za Uzanzibar na Utanganyika
Tuwatambue TU kama wahuni au wauwaji

halafu ukishawatambua ndio iweje? vp kuhusu aliyewatuma? kwangu mimi hapo ndipo focus inapotakiwa kuwekwa na siyo hao ...
 
Back
Top Bottom