GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mrs Mwigulu Nchemba wa Esther Luxury Bus Coach, naona umeumizwa sana na Mali zenu kupigwa moto

By the way, Mali iliyopatikana kwa wizi na kwa njia haramu hupotea kwa njia hizo hizo haramu. Hii ni natural principle kama ulikuwa hujui..

Na unaulizia uoneshwe waliofanya hivyo? Basi sina shaka kuwa kumbe wewe ni mjinga na mpumbavu kabisa maana macho unayo, lakini masikini wa akili wewe huoni!!

Waliofanya hivyo wako very visible, hawakujificha, ni waandamanaji maelfu kwa maelfu nchi nzima, wananchi wenye nchi yao wenye hasira Kali..

Nendeni mkajaribu kuwakamata hao muone kama mtaweza..
Wewe mpuuzi punguza hasira zako za kimaskini. Subiri uone wangapi watafikishwa kortini. Wengi wataenda jela.
 
Laiti ungejua mimi ni nani hapa kwetu Shinyanga, ungetuliza hayo makalio yako na kufunga domo lako, Shilole.!

Na wa kwanza wao kwenda jela na kunyongwa mpaka kufa atakuwa Jezebel, mama yenu Samia Suluhu Hassan, muuaji na munywa damu za watu

Damu yake italambwa na mbwa barabarani!!!

Haijaisha, hajapona ndo tu vita ya kumtoa kwenye Ikulu yetu Watanganyika imeanza.

THE WARGAME HAS JUST BEGUN
 
Nina mashaka makubwa juu ya hili.

Hili ni kundi maalum, lililo andaliwa kwa hii kazi waliyoifanya
Hakuna cha kundi maalum, hao ni washikaji masela tu. Hao ni polisi plus tiss, ni mchanganyiko wa wahuni ndani ya majeshi. Watu wamevaa jezi kabisa halafu useme wametoka sijui wapi.
 
Ipo siku kama ni kweli mercenaries watatuharibu vibaya sana
 
Laiti ungejua mimi ni nani hapa kwetu Shinyanga, ungetuliza hayo makalio yako na kufunga domo lako, Shilole.!

Na wa kwanza wao kwenda jela na kunyongwa mpaka kufa atakuwa Jezebel, mama yenu Samia Suluhu Hassan, muuaji na munywa damu za watu

Damu yake italambwa na mbwa barabarani!!!

Haijaisha, hajapona ndo tu vita ya kumtoa kwenye Ikulu yetu Watanganyika imeanza.

THE WARGAME HAS JUST BEGUN
Ficha ujinga wako.
 
Hakuna cha kundi maalum, hao ni washikaji masela tu. Hao ni polisi plus tiss, ni mchanganyiko wa wahuni ndani ya majeshi. Watu wamevaa jezi kabisa halafu useme wametoka sijui wapi.
Jibu lako halijasaidia chochote, mkuuwakaya!
Hizo "jezi' ndio utambulisho rasmi na halali wa hao unaowasema wewe?
 
Laiti ungejua mimi ni nani hapa kwetu Shinyanga, ungetuliza hayo makalio yako na kufunga domo lako, Shilole.!

Na wa kwanza wao kwenda jela na kunyongwa mpaka kufa atakuwa Jezebel, mama yenu Samia Suluhu Hassan, muuaji na munywa damu za watu

Damu yake italambwa na mbwa barabarani!!!

Haijaisha, hajapona ndo tu vita ya kumtoa kwenye Ikulu yetu Watanganyika imeanza.

THE WARGAME HAS JUST BEGUN
Wewe ni K hapo kwenu Shinyanga kama K zingine.
 
Polisi wetu ni wazalendo KWELIKWELI. Yale hayakuwa maandamano ni matembezi ya majangiri na wezi na waharibifu wa Mali za umma na binafs
Wewe kuteka kuua kuiba mali za umma ufisadi kuwabambikia chadema kesi za uongo ndiyo uzalendo kwako? Kuiba kura kufanya chaguzi feki za maigizo na vyama Dhaifu ccm B ndiyo uzalendo?
 
Wewe mtu akija kuchoma nyumba yako utamchekea? Acheni unafiki
Wewe baba mama dada kaka binamu mjomba ndugu zako wakibambikiwa za uongo kama lisu na sasa Heche utawachekea? Wakija kuwateka ndugu zako kuwaua utawachekea? Wewe ndiyo mwizi wa mali za umma kwani Akili zako zimejaa ufisadi na wizi
 
Wewe mpuuzi punguza hasira zako za kimaskini. Subiri uone wangapi watafikishwa kortini. Wengi wataenda jela.
Waende jela wewe na Polisiccm mliotekeleza huo unyama Siyo kutengeneza propaganda kuwasingizia watu uongo kama mlivyoanza kwa Heche sasa
 
Back
Top Bottom