GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Aliyewatuma hakuwatuma kama mzanzibar aliwatuma maslahi yake binafsi na genge lake mkuu

naelewa lkn ni ngumu ku-control hisia za watu kwenye maafa kama haya, ni asili ya binadamu, isitoshe wewe ndiyo unawasemea wazanzibari kwamba siyo uzanzibari au dini lkn haujui kilichopelekea wahusika kutoa amri ya kuwinda na kuuwa watu labda pia ni chuki tu dhidi ya wengine, no body really knows the reason isipokuwa wahusika wenyewe, lkn kumbuka maafa yanatokea hakuna kiongozi hata mmoja aliyesema chochote kuonyesha uongozi, amekuja kuibuka na kupewa fomu ya ushindi tena kwa tabasamu kubwa wakati miili ya watu imelalala barabarani hakuna neno lolote lilisemwa ktk kwa kiongozi mkuu, hivyo ktk mazingira kama hayo ni ngumu sana kwa binadamu kufikiria nje ya box ...
 
Hao ni Wazenji walioandaliwa na kuketwa na Abduli na genge lake. Na wamekuwa wakitumia silaha ziluzoingizwa na Abduli.
Hawa wazenji waanze kutafutwa huku Danganyika, warudishwe kwao kwa nguvu, ni lazima walipe damu za wadanganyika walizozimwaga. wameiaba sana rasilimali zetu, hawajatosheki, sasa wameamua kunywa damu zetu. Hii haikubaliki.
 
Kwa kiasi naamini wale wanaosema kuna mercenaries walioingizwa kwa kazi hii. Sidhani kama kuna mtanzania anaweza kutekeleza zoezi hili kwa ukubwa huu na kufyatua risasi kwa raia huku akijua humo ndani kunaweza kuwa na ndugu au jamaa yake.

Hata yule mtangazaji wa Clouds baada ya kupigwa shaba, alipigiwa simu ndugu yake ambaye ni JW na ndiye aliyeweza kumkimbiza hospitali.

Huu mtiti ungeendelea kwa muda, intervention ambayo ingefanyika, ingefanyika kwa ajili ya cover up na siyo kwa ajili ya kuokoa raia.
 
Hawa watu kwenye hizi picha ni Polisi na TISS.

Hawa ndo walikuwa wanapita mitaani na kuwaminia risasi ndugu zetu, hawa watu wameuwa maelfu ya Watanzania.

Ukizoom sura zao zinaonekana, umemtambua yeyote?

Ungewaambia ndugu zako wasichome moto miundombinu na kuibomoa,unachoma moto mwendokasi kwa nini?..kwa nini unachoma moto biashara za watu?..unakata vidole waliopiga kura?
 
Back
Top Bottom