GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tutawafahamu tu maji na mafuta yanajitenga kwa kasi sana
 
Mwisho wa siku watarudi kuishi na Sisi mtaani na familia zao zipo na Sisi waliotuulia ndugu zetu sasa wasubirie roho mbaya zetu
 
Tukimjua mmoja tu hapo atawataja wenzie
Huyu hapa.
IMG_20251104_182044.png
 
Mtu anayechoma nyumba ya watu wanaishi anastahili risasi na sio vinginevyo.
Kuelimisha mpumbavu ni kazi ngumu sana .
Bora kujaza maji kwenye gunia unaweza kulikamua upate hata vimatone

Walioua wakiwa njiani nao walistahili Risasi na je yule mtangazaji wa clouds

Ccm imejenga shule za kuongeza wapumbavu au kuwapunguza ?
 
AI ndo imefanya hivi? Ikiwa ndio, basi AI ni habari nyingine.
Ipo hivi, unajua kwa nini ukiscan kidole chako kimoja inakuketea taarifa zako zote?.

Sababu nakupa kuoitia AI uliyouliza hapo juu.

Kupitia mitandao hii kama Facebook nk kun picha zetu huwa tunapost hivyo unaweza kupiga picha shavu na ukaipost.

Mtu mwingine akitaka kujua huyu ni nani (kwa teknolojia ya sasa ya AI) unailisha maelezo/prompts khs hilo shavu kuwa iweje.

AI itascan hiyo picha ya shavu kila sehemu na itashabihisha ngozi yako na picha zako nyingine kisha inakuketea taswira yako.

Why, kwa sababu picha zako zipo mtandaoni so unakuwa umeirasishia kupata picha ya sura yako.

That's is all.
 
Back
Top Bottom