baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Hawa sio wa baraMbona kama waznzibari
Hawa sio wa baraMbona kama waznzibari
Kwani nawe ni malaya kama unayemtetea?Mtu anayechoma nyumba ya watu wanaishi anastahili risasi na sio vinginevyo.
SAYNGAYUngewaambia ndugu zako wasichome moto miundombinu na kuibomoa,unachoma moto mwendokasi kwa nini?..kwa nini unachoma moto biashara za watu?..unakata vidole waliopiga kura?
watamuua wenzake kama watu wameshamtambua
mwendokasi hizo ni kodi zao kama wezi mafisadi wanavyoiba kodi hao wamebomoa kodi zaoUngewaambia ndugu zako wasichome moto miundombinu na kuibomoa,unachoma moto mwendokasi kwa nini?..kwa nini unachoma moto biashara za watu?..unakata vidole waliopiga kura?
Ndiyo wameng'ata dongomwendokasi hizo ni kodi zao Waka wezi mafisadi wanavyoiba kodi hao wamebomoa kodi zao
Hoja kubomoa miundombinu sio hoja ikiwa kuna wezi na mafisadi wa mali za Umma hao wamebomoa kodi zao ila kutoa uhai wa mtu Unafikiri hao hawatakufa?Ndiyo wameng'ata dongo
Kwani Wazanzibari siyo Watanzania?Mbona kama waznzibari
picha ya mamaako ndio yakwanza kaiangalie matako weweTupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Na Mkapa alikuwa muuwaji.Tukimjua mmoja tu hapo atawataja wenzie
Samia muuwaji
Kwa hiyo waliochoma mali za watu walikuwa sahihi?
ahh! Kimada wa abdul kwenye ubora wake ehh! Vip abdul anakuoa lini?Tupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Keyboard warrior kwanini hukuandamana?ahh! Kimada wa abdul kwenye ubora wake ehh! Vip abdul anakuoa lini?
Watu kama nyie ni wapumbavu watu wanahasira na mafisadi na wasapoti utawala dhalimu kwa hiyo minawaelewa waliofanya vile.Polisi wetu ni wazalendo KWELIKWELI. Yale hayakuwa maandamano ni matembezi ya majangiri na wezi na waharibifu wa Mali za umma na binafs