Hata wwe ulitakiwa upigwe na kuchomwa moto. Upo kwenye rada *****Kwa hiyo waliochoma mali za watu walikuwa sahihi?
Hata wwe ulitakiwa upigwe na kuchomwa moto. Upo kwenye rada *****Kwa hiyo waliochoma mali za watu walikuwa sahihi?
Nina mashaka makubwa juu ya hili.Hawa watu kwenye hizi picha ni Polisi na TISS.
Tupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Hivi mwizi akikutwa na Mali ya wizi na ikichomwa analaumiwa mchomaji?Tupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Unajifanya hujui aliye sababisha hayo unayodai hapa? Huyo ni Samia Suluhu Hassan, ambaye ndiye mfugaji wako , nguruwe wewe.Tupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Nikupe kituo cha mafuta umuue baba yakoKwa hiyo waliochoma mali za watu walikuwa sahihi?
Mfano wako hauendaniHivi mwizi akikutwa na Mali ya wizi na ikichomwa analaumiwa mchomaji?
Ndio maana wakati wakati wa Magu wavuvi Haramu wakikamatwa nyavu zao zil8chomwa na hatukuhoji
Mali za akina AbdulTupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Ni wa zanzibari. Hata ukiwatazama wanaonekana kuwa sio watu wa huku.Achana na hizo hisia za Uzanzibar na Utanganyika
Tuwatambue TU kama wahuni au wauwaji
Kweli.halafu ukishawatambua ndio iweje? vp kuhusu aliyewatuma? kwangu mimi hapo ndipo focus inapotakiwa kuwekwa na siyo hao ...
Hata kama wangekuwa Wasukuma, chamsingi ni Watanzania inatosha.Ni wa zanzibari. Hata ukiwatazama wanaonekana kuwa sio watu wa huku.
Mali zinarudi ila maisha ya watu kama uhai ndo basi tena don’t support violence against people .. ni Aibu aseeeTupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Kama hausapoti Violence, unatakiwa kuanzia kwa wale Wahalifu waliokuwa wakiiba na kuharibu mali. Muwaambie hatukuwatuma haya mliyofanya.Mali zinarudi ila maisha ya watu kama uhai ndo basi tena don’t support violence against people .. ni Aibu aseee
Wewe mtu akija kuchoma nyumba yako utamchekea? Acheni unafikiMali zinarudi ila maisha ya watu kama uhai ndo basi tena don’t support violence against people .. ni Aibu aseee
Mrs Mwigulu Nchemba wa Esther Luxury Bus Coach, naona umeumizwa sana na Mali zenu kupigwa motoTupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Kwa uwezo ulionao kichwani hutaelewa!Mfano wako hauendani
Kuna polosi ni traffic huku mtaani kwetu wapiga shaba watu wawili hakuna cha mercenaries wala nini ni hao hao polisi wetuKwa kiasi naamini wale wanaosema kuna mercenaries walioingizwa kwa kazi hii. Sidhani kama kuna mtanzania anaweza kutekeleza zoezi hili kwa ukubwa huu na kufyatua risasi kwa raia huku akijua humo ndani kunaweza kuwa na ndugu au jamaa yake.
Hata yule mtangazaji wa Clouds baada ya kupigwa shaba, alipigiwa simu ndugu yake ambaye ni JW na ndiye aliyeweza kumkimbiza hospitali.
Huu mtiti ungeendelea kwa muda, intervention ambayo ingefanyika, ingefanyika kwa ajili ya cover up na siyo kwa ajili ya kuokoa raia.
Fikirishi but very possible. AI inayouwezo mkubwa wa ku identify patterns ambazo sisi binadamu hatuwezi kuona.Ipo hivi, unajua kwa nini ukiscan kidole chako kimoja inakuketea taarifa zako zote?.
Sababu nakupa kuoitia AI uliyouliza hapo juu.
Kupitia mitandao hii kama Facebook nk kun picha zetu huwa tunapost hivyo unaweza kupiga picha shavu na ukaipost.
Mtu mwingine akitaka kujua huyu ni nani (kwa teknolojia ya sasa ya AI) unailisha maelezo/prompts khs hilo shavu kuwa iweje.
AI itascan hiyo picha ya shavu kila sehemu na itashabihisha ngozi yako na picha zako nyingine kisha inakuketea taswira yako.
Why, kwa sababu picha zako zipo mtandaoni so unakuwa umeirasishia kupata picha ya sura yako.
That's is all.